The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 37,959
- 117,325
Labda alisharudi tena Mbinguni kwa Baba yake kama alivyoenda mwanzo.Hivi mfalme zumaridi yu wapi.
Labda alisharudi tena Mbinguni kwa Baba yake kama alivyoenda mwanzo.Hivi mfalme zumaridi yu wapi.
Kwahiyo mkiachana ndio mtagawana mali nusu kwa nusu sio?Na hatutofikia uko mambo yetu/conflict tutayamaliza wenyewe
Yule ndio alijaza mazombi aisee.Labda alisharudi tena Mbinguni kwa Baba yake kama alivyoenda mwanzo.
Ulokole ni aina mojawapo ya ulemavu wa akili, walokole ni watu wenye uhitaji maalum kwani ni walemavu wa akili.Hii jamii ni ya kutenga kabisa na wakristo, inachafua ukristo na kuonekane kama hamnazoView attachment 3651008
Ustaadhi Mwaipopo na mbwa mwitu wanaangukia wapiWalokole ni kundi la mwisho kabisa la wanadamu wakitoka nyani
Wacha vijana wafaidi..
😂Umejua kunichekesha!Kama niliweza kuvunja penzi lililokua moto moto la ephen_ na Lucas Mwashambwa nyie hamnishindi kitu.
Mlokole kwenye one and twoHujui tu
Maombi ya walokole ndio yameshikilia na kuzuia mengi ambayo kama yangeruhusiwa yatokee dunia isingekua kama unavyoiona leo
Ila vumilia maana walokole hawana muda mrefu watawaachia dunia yenu halafu muone kama mtaishi kwa raha
Saa hii niko na mning'inio wa ziada (hangover).Imekuaje sasa😄
Astakafirilah shekhe 🙆Huyu hapa Mfalme zumaridi
Ndiomaana mnatuonea wivu new ids mtu una miaka 10 humu ila hujifunzi mbinu mpya unakalia kufuatilia mwenendo wa id fake tu😂Astakafirilah shekhe 🙆
Anyway, em nifundishe namna ya kufanya hvy, tag n tofauti na I'd ila notifications anapata mhusika, mfano hvy ume-tag mfalme zumaridi Ila n mm nimepata notifications 😎
Ulikunywa nini ba mkali😅Saa hii niko na mning'inio wa ziada (hangover).
Sio kwamba sijui mbinu n bc tuu kuna mambo sijayapa umuhimu kwangu 😎Ndiomaana mnatuonea wivu new ids mtu una miaka 10 humu ila hujifunzi mbinu mpya unakalia kufuatilia mwenendo wa id fake tu😂
Anyways unatag then una edit pale kwenye jina then una save tena, kama huelewi hutokaa ukaelewa nyoko wewe😏