Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 51,797
- 125,119
Au sio 😂Kaa hapo ss kibaka wewe
Au sio 😂Kaa hapo ss kibaka wewe
Huyu siyo mlokole, Usichanganye ulokole na imani nyingine kama hizi.Hii jamii ni ya kutenga kabisa na wakristo, inachafua ukristo na kuonekane kama hamnazoView attachment 3651008
Wanafiki sana
Ndio mwasisi wa mbingu dunianiOnesmo ni nani tena jamani😂
Duh kumbe!Ndio mwasisi wa mbingu duniani
AiwandaDuh kumbe!
Nilizidisha mbege.Ulikunywa nini ba mkali😅
Hahaha 😂, anzisha tena Uzi wa kiwakera Mods bwashee.Hahahaa kunywa pombe mpaka hangover nikitu nakiepuka sana kwa sasa bwashee
Hawa watu ni burudani🤣🤣🤣Hii jamii ni ya kutenga kabisa na wakristo, inachafua ukristo na kuonekane kama hamnazoView attachment 3651008
Wanapenda kuamini ujinga moaka sio poa. Na 90% ni makapuku wa kutupa
Tupo nae mbeya Leo wanasema ATAKIWASHA PALE TUGHIMBE!?Hii jamii ni ya kutenga kabisa na wakristo, inachafua ukristo na kuonekane kama hamnazoView attachment 3651008