Hahaha 😂 wala siamini.Kuna kiwanda ya kuzalisha sukari dhidi yangu bwashee 😆😆
Sawa dadii🥰staki kuona ban kwenye ID yako mamy
Izolo tyler icuNi bariki na ngoma moja hapo
Bwana Niko high mimi hata sielewi search uko ilo jina hapo..Tupia ka video ka YouTube bhana
Mwenye kanisa akifa na kanisa linakufaWalokole ni kundi la mwisho kabisa la wanadamu wakitoka nyani
Ni blessBwana Niko high mimi hata sielewi search uko ilo jina hapo..
Sawa dadii🥰
bamnyogode ndo nimi my friend au zimeshka tayariTuache bamnyogode tukomae na ulevi tu
Walokole labda kwa sababu wanajitangaza tu, mbona wengine wana visomo na mapete ya kuepusha watu na kesi, husda na chuki.Hii jamii ni ya kutenga kabisa na wakristo, inachafua ukristo na kuonekane kama hamnazoView attachment 3651008
Zimeshika nini😁bamnyogode ndo nimi my friend au zimeshka tayari
Na madawa ya sunna 😐Walokole labda kwa sababu wanajitangaza tu, mbona wengine wana visomo na mapete ya kuepusha watu na kesi, husda na chuki.