Walokole ni kundi maalum

Walokole ni kundi maalum

Hapo mnadanganyana tu huku kila mmoja wenu ana mpenzi wake mwingine,
Utakuta muda huu Seran kakumbatiwa na mubaba mwenye midevu kama Mpoki,halafu wewe upo kwemu huko Mwanjelwa ndani ndani unajiaminisha kua Seran ni wako wapekee.
Sisi hatulimitiani, tuko kwenye open relationship kwahiyo hilo swala dogo sana kwetu😅
 
Hapo mnadanganyana tu huku kila mmoja wenu ana mpenzi wake mwingine,
Utakuta muda huu Seran kakumbatiwa na mubaba mwenye midevu kama Mpoki,halafu wewe upo kwemu huko Mwanjelwa ndani ndani unajiaminisha kua Seran ni wako wapekee.
Seran ni wangu pekee yangu just imagining juzi tu nilikua nae tumeinjoi sana
 
Walokole labda kwa sababu wanajitangaza tu, mbona wengine wana visomo na mapete ya kuepusha watu na kesi, husda na chuki.
Hao wengine wanahusiana vipi na mada?
 
Mjomba wangu kutoka marangu sembeti amefika 😂......

Ety min me aandike politely kuhusu waliokolye naaaaapaaaaa.

Aaaaaaah Yesuuuuuuuu na mariiiah
 
Back
Top Bottom