Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 17,802
- 33,437
Walokole na wasabatho ni kama pipa na funiko,wanasali lakini matendo yao ni zaidi ya shetani-ngono ndio usiseme wanaenda sambama na porn actors.
Zimeshika nini
Ubarikiwe mkuu 🙏🏽Walokole ni mashetani waliojificha kwenye kivuli cha watu wemaaaa..
Manina zenu wt mnaojiita walokolee..
Mkileta mapenzi yenu kwenye uzi wa walokole,tutawapiga ban nyie wote wawili ili mkafanyie hayo mapenzi yenu mtaani huko.staki kuona ban kwenye ID yako mamy
Wivu jamani😁Mkileta mapenzi yenu kwenye uzi wa walokole,tutawapiga ban nyie wote wawili ili mkafanyie hayo mapenzi yenu mtaani huko.
Au nakosea ndugu wananchi?
Nshabarikiwa mkuu toka nilione jua na giza..barikiwa pia na ww km bdUbarikiwe mkuu 🙏🏽
Huu ni wivu wa waziwazi kabisa 😊Mkileta mapenzi yenu kwenye uzi wa walokole,tutawapiga ban nyie wote wawili ili mkafanyie hayo mapenzi yenu mtaani huko.
Au nakosea ndugu wananchi?
Kiiza Besigye!
Amina mimi piaNshabarikiwa mkuu toka nilione jua na giza..barikiwa pia na ww km bd
Kama niliweza kuvunja penzi lililokua moto moto la ephen_ na Lucas Mwashambwa nyie hamnishindi kitu.Huu ni wivu wa waziwazi kabisa 😊
Mkuu,
Haya mapenzi yetu na Seran
hayajaanza leo hata mods wanajua what's is going on !
Hapo mnadanganyana tu huku kila mmoja wenu ana mpenzi wake mwingine,Huyo bro,
Anapiga Dua kila siku tuachane ila cha kushangaza ndio tunazidi kubond to the fullest 😊
Seran thank you nature for bring to me this beautiful women 💗
hili penzi limeshaota mizizi na imekwenda mbaliii labda kuvunjika sio Rahisi hata kidogoKama niliweza kuvunja penzi lililokua moto moto la ephen_ na Lucas Mwashambwa nyie hamnishindi kitu.