Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 51,732
- 124,884
C ameshakupitia ndo mana una taarifa zake, wanawake 🙌We mwenzio sio chokoraa😆
Au niseme ile motto yangu 😎
C ameshakupitia ndo mana una taarifa zake, wanawake 🙌We mwenzio sio chokoraa😆
Tufanye kweli😁Mamnyogode leo tunachanja mbingu duniani
Napeleka wapi hiyo takataka mimi😅C ameshakupitia ndo mana una taarifa zake, wanawake 🙌
C umesema sio chokaraa, vp awe takataka?Napeleka wapi hiyo takataka mimi😅
Huyo ana ulolokole upiHii jamii ni ya kutenga kabisa na wakristo, inachafua ukristo na kuonekane kama hamnazoView attachment 3651008
Mimi napenda miamala sio maigizo shorii😂 wanaogiziwac kawahubirie huko! Mimi hicho kikombe sio level yangu..C umesema sio chokaraa, vp awe takataka?
Tatizo lenu wanawake wa JF mnapenda wanaume wenye maigizo, na mnaigiziwa kweli ili muingie kwenye mtego, fala nyie
Unatokea wapi tuungane maana leo ni ile siku onesmo anasema kaeni kimya niingie kazini 😊Tufanye kweli😁
Nifanye muamala then tuonane?Mimi napenda miamala sio maigizo shorii😂 wanaogiziwa kawahubirie huko! Mimi hivho kikombe sio level yangu..
Onesmo ni nani tena jamani😂Unatokea wapi tuungane maana leo ni ile siku onesmo anasema kaeni kimya niingie kazini 😊
Ndio fanya hivyo chapchap 😁Nifanye muamala then tuonane?
Ww usiponikimbia na muamala wangu, fanye tuonane then tukiwa tunaelekea gest Nakupa muamala Wako 😎Ndio fanya hivyo chapchap 😁
Sitaki first deposit ndio na make a move🤸🏽♂️Ww usiponikimbia na muamala wangu, fanye tuonane then tukiwa tunaelekea gest Nakupa muamala Wako 😎
Sasa huchelew kunikimbia wwSitaki first deposit ndio na make a move🤸🏽♂️
Siendi mahala😁Sasa huchelew kunikimbia ww
😁😁😁😁🙌🙌🙌Tumechelewa! Tungewahi angepona sasa hivi labda ukamfungulie file Dodoma.
Ushanitafutia kesi sasa umeridhika😁😁😁😁🙌🙌🙌
Amna sema tu Dodoma mbali, ila wengi tuna changamoto ya afya ya akili na ni kuadmitt kwa sababu ni ngumu kujijua kama una hiyo changamoto.Ushanitafutia kesi sasa umeridhika
Sidanganyiki 😂Siendi mahala😁
Kaa hapo ss kibaka weweSidanganyiki 😂