Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 29,342
- 85,478
Yani humu jf kila mtu anajifanyaga sijui hafatilii jambo fulani mara hagombani na fake id, mkute sasa vichochoroni hapepesi jicho kutukanana na waja, hapo unajifanya hufuatilii kumbe unafiatilia mpaka umeuliza, kumbe deep down naye walewale watz kwa kujisafisha hatujambo🤣Sio kwamba sijui mbinu n bc tuu kuna mambo sijayapa umuhimu kwangu 😎