Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,987
- 24,226
Thanks sweetheart
Kumbe nina misimamo?
Kumbe nina misimamo?
kwanza kabisa nianze na dada mkubwa AshaDii... sijawahi kusoma post yako hata moja nisikute cha kujifunza ndani yake... PAMOJA SANA
Pili dada yangu wa moyoni gfsonwin.... nilipokuja dar nilitamani sana kukuona walau unifunde kwa masaa mawili lakini kwa bahati mbaya sikukuta..... I salute u dadaangu wa kumoyo!!!!!
snowhite najifunza mengi sana kupitia post zako... hasa kuhusu masuala ya ndoa.... Kungwiiiiiii nakukubali sana.......
Kongosho my dearest... napenda ulivyo na msimamo katika suala laahusiano.... napenda ulivyo bandidu kwa hawa viumbe.... pokea likes zangu nyiiiingi... nafuata nyayo zako mamito!!!!!!
Mzee Mtambuzi post zako huwa zinanikonga moyo saaaaaana... big up sana
Nicas Mtei naomba nisiseme saaaana.....