Waliobadilisha Maisha yangu....

Waliobadilisha Maisha yangu....

mimi? Kwanza kabisa napenda kukupongeza kwa kuleta uzi huu yaah,inaonyesha jinsi gani humu jf tuna watu makini wanaoweza kutambua mchango wa wachangiaji wenzao na kua appriciate,yaah back 2 ze mada,mimi naanza kwanza na wewe mwenyewe
Mzee mwana kijiji
Ciello
Special one lara moko
Madam wote
Mtambuzi na mzizi mkavu
Bila kumsahau mbuzi mzee!
 
Wifi langu la ukweee. Me love you

mmh jamani wewe! Thanks, i love interracting with you

Hahahaha! Nilihisi ilikuwa ni movie ya safari ya Kafernaumu! Me nilienjoy pia, sikwenda survey kwenye kale kamjumuiko, but I got it for few minutes! Jf is a real thing na sio kitu cha kufikirika!!

Ni nyumbani, na familia kubwa,
watu8, Platozoom, Darky city, Lara 1, Mupirocin, Kongosho, Kaunga, ErickB52, Boflo(shemeji zangu), snowhite, Preta (my wife), Madame B, M'Jr, Mzizi Mkavu, Chama & Zomba (Pasua vichwa), na wengine
 
mimi? Kwanza kabisa napenda kukupongeza kwa kuleta uzi huu yaah,inaonyesha jinsi gani humu jf tuna watu makini wanaoweza kutambua mchango wa wachangiaji wenzao na kua appriciate,yaah back 2 ze mada,mimi naanza kwanza na wewe mwenyewe
Mzee mwana kijiji
Ciello
Special one lara moko
Madam wote
Mtambuzi na mzizi mkavu
Bila kumsahau mbuzi mzee!

Jamani chelsea fc Luv uuuuu....
Nitakuletea Kimwali Konzi toka Tanga.
 
Last edited by a moderator:
You are not complete according to the creator. Hivi unajua ukiona mume anaogopa nyoka unakuwa na ujasiri wa paka kumeza mjusi? Ni mfano tu. Ila ukipata mume mchina unaogopa nyoka unadeeka manake unajua atamkamata na kupika. Unajiogopesha hata kuosha vyombo ila unakula hehehhe

mateka tukuulize wewe, umemficha? Manake anatajwa na wadada tu humu. Im glad Paw hatajwi manake nna roho ndogo kama piriton.
I am complete, do I need any one to complete me?

Jamani mateka yuko wapi?
 
Hahahaha! Nilihisi ilikuwa ni movie ya safari ya Kafernaumu! Me nilienjoy pia, sikwenda survey kwenye kale kamjumuiko, but I got it for few minutes! Jf is a real thing na sio kitu cha kufikirika!!

Ni nyumbani, na familia kubwa,
watu8, Platozoom, Darky city, Lara 1, Mupirocin, Kongosho, Kaunga, ErickB52, Boflo(shemeji zangu), snowhite, Preta (my wife), Madame B, M'Jr, Mzizi Mkavu, Chama & Zomba (Pasua vichwa), na wengine

Asante moto2012,
Hata nami wanikoshaga jamani.
Thanx
 
Last edited by a moderator:
Kiukweli wapo walioniimarisha, but wapo pia walionibomoa (@Dark City unahusika?)...lol
 
Ha ha ha, najua hapo kwenye kuwa completed, tena waweza ogopa hapa inzi na machozi yakatoka

Mmmh, mateka ni sawa na Shirika la Uma
Anatajwa hadi nimekufa ganzi, nihamie kwa paw? ama nihamie kwa shemeji kaka yako?

You are not complete according to the creator. Hivi unajua ukiona mume anaogopa nyoka unakuwa na ujasiri wa paka kumeza mjusi? Ni mfano tu. Ila ukipata mume mchina unaogopa nyoka unadeeka manake unajua atamkamata na kupika. Unajiogopesha hata kuosha vyombo ila unakula hehehhe

mateka tukuulize wewe, umemficha? Manake anatajwa na wadada tu humu. Im glad Paw hatajwi manake nna roho ndogo kama piriton.
 
kwanza kabisa nianze na dada mkubwa AshaDii... sijawahi kusoma post yako hata moja nisikute cha kujifunza ndani yake... PAMOJA SANA

Pili dada yangu wa moyoni gfsonwin.... nilipokuja dar nilitamani sana kukuona walau unifunde kwa masaa mawili lakini kwa bahati mbaya sikukuta..... I salute u dadaangu wa kumoyo!!!!!

snowhite najifunza mengi sana kupitia post zako... hasa kuhusu masuala ya ndoa.... Kungwiiiiiii nakukubali sana.......

Kongosho my dearest... napenda ulivyo na msimamo katika suala laahusiano.... napenda ulivyo bandidu kwa hawa viumbe.... pokea likes zangu nyiiiingi... nafuata nyayo zako mamito!!!!!!

Mzee Mtambuzi post zako huwa zinanikonga moyo saaaaaana... big up sana

Nicas Mtei naomba nisiseme saaaana.....
 
Last edited by a moderator:
Wow thanx chelsea fc, kumbe nami nimo eeeh
mimi? Kwanza kabisa napenda kukupongeza kwa kuleta uzi huu yaah,inaonyesha jinsi gani humu jf tuna watu makini wanaoweza kutambua mchango wa wachangiaji wenzao na kua appriciate,yaah back 2 ze mada,mimi naanza kwanza na wewe mwenyewe
Mzee mwana kijiji
Ciello
Special one lara moko
Madam wote
Mtambuzi na mzizi mkavu
Bila kumsahau mbuzi mzee!
 
Last edited by a moderator:
1a: Natambua uwepo wa Mr Maxence Melo. Kwake nimejifunza mengi kutokana na Changamoto kadhaa za kimaisha na jinsi ya kuzishinda.
1b: Mzee Mwanakijiji amenifunza meng kuptia riwaya na post zake humu zinaohusu siasa na mahusiano.
2: Natambua uwepo wa dada AshaDii. Kupitia maandishi yake humu JF nimekuwa nikijifunza mambo mengi sana. Sijawah kuboeka kila nisomapo alichoandika.

3: Natambua uwepo wa Mr Mtambuzi. Hyo ni kutokana na visa na mikasa anavyopost humu. Vimekuwa fundisho kubwa kwangu..

4: Natambua uwepo wa dada Madame B. Huyu amekuwa kama ndugu kwangu. Nimejifunza mambo mengi kwake. Nina imani kuwa anatambua ninachomaanisha..

5: Natambua uwepo wa mwanadada charminglady.. Huyu amekuwa mshauri wangu wa karibu pia rafiki mkubwa kwangu. Mara nyingi tumesaidiana.

6: Natambua uwepo wa Remmy. Kamanda mwenzangu, dada yangu, rafiki yangu. Kwa kiasi kikubwa tumesaidiana mengi..

7: Natambua uwepo wa Asprin {ODM}. Mara nyingi nimekuwa nikifurahia post na comments zake humu.. Nimejifunza mengi.

8: Natambua uwepo wa Mr Rocky. Ni zaidi ya rafiki kwangu. Kupitia ushauri wake wa maandishi na ana kwa ana nimejifunza mengi.

9:Natambua uwepo wa pacha wangu Erickb52. Huyu ni pacha. Anajua kabisa vile tupo. Ni zaidi ya ndugu.

10:Natambua uwepo wa my dada gfsonwin. Kwenye masuala ya siasa. Jambo hatuamini itikadi moja but namkubali kwa ujumla kutokana na mijadala michache tuliyofanya. Hakika anaweza.

11: Elizabeth Dominic natambua uwepo wako my dada. Mimi na wewe hatujakutana barabarani. Nakukubali sana.
Wengine ni kasiko a.k.a cacico,{Huwa unanipa raha sana. Sijawah kujuta wala kuboeka kuona mijadala yako. Hata tulipoonana nilifurahi.}..

Bila kumsahau my shem snowhite.{Hapi besdei shem. Nimejifunza mambo mengi kwako.. Walimu mpo juu..}

Ciello cjakusahau my dada. Nawe upo katika list ya walionifunza jambo. Nakukubali
.
Mungi, Filipo, marejesho, Preta, PakaJimmy na wote wa Arusha. u guys huwa mnanifurahsha sana. Naupenda umoja na mshikamano wenu.. Nimejifunza mengi. Tutameet Tanga..

JF ni Digital Family. Mungu Ibariki JF, Wabariki members wote, Bariki umoja na mshikamano wetu.

Tukosoane, Turekebishane. Tuwajibishane ndipo tusameheane.-Regia Mtema{R.I.P.}
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom