King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,866
- 24,976
Ndio ujifunze mkeo sio wa ajabu kihivyoo. Unahitaji kujua udhaifu wa mwenzio na kum-complete. Pale ulipo dhaifu yeye anasimama kwa ajili yako na kukufanya uonekane mwanaume wa maana. You should do the same. Ukiwa negative hata jf tu itakuchosha.
Natamani siku ambayo wana JF tutakusanyika mahali na kila mmoja akajitambulisha kwa jina lake analolitumia humu. Mimi nafurahia ushauri wa watu wengi wanaoutoa humu ila nimejifunza kwamba kumbe wanawake aina ya mke wangu wako wengi, mmojawapo NIVEA!