Walinzi wa viongozi (mataifa mbalimbali) reconstructed

Walinzi wa viongozi (mataifa mbalimbali) reconstructed

Hii avatar yako Mkuu! We kweli mchokozi... Hilo tukio la Baghdad ni somo muhimu kwa walinzi wa Viongozi..na ni wazi ulinzi wa Obama utaongezwa na kuwasisitizia uharaka na umakini walinzi...nilichoona hapo ni kwamba hakukuwa na walinzi wa kutosha kwenye Floor..walinzi wengi walitokea nyuma ya platform baada ya tukio.

Walikuwa nyuma wanabadirishana lapel pins lol
347245246.jpg
 
Icadon thanks for the Pics.. i was coming to say the same thing!
Nimerudia kucheki foottage ya ile kitu mara kadhaa, both CNN na Al Jazeera kuna several critics nimeweza kuzi-identify.

Hazitofautiani sana na walizochangia wenzangu ila most important ni kuchelewa kureact tha SS...Nafikiri principle KUU ya kazi yao ni ku-react HARAKA IWEZEKANAVYO kwa assailant!, the guy mbaka anatoa kiatu cha pili na kurusha sijaona SS akim-block!

Then after kumwangusha assailant nilikuwa na-expect wamfanyie Coverage VIP immediately, fun enough ni officer m1 tu ndiye aliye mcover in the first 30 seconds, na horrible zaidi the guy was busy looking at wenzake wanavyo msulubu jmaa chini pale badala ya kuwa keen kucheki huku na kule....i think thats was a big crack coz kama SS wana put much concentration on one person what about the VIP kum-cover?, and what about kama kuna mwingine assailant akatumia mwaya huo 'kumkandamiza' VIP na kiatu/kitu chengine?

Katika Press conference kama ile sidhani kama kulikuwa na haja ya kumweka Agent wao in the middle ya Journalists ila the salient issue was uharaka wa ku-react na any attack!

NB; Kumbe GWB ameshawai kucheza rede?, cheki na Avatar ya Ica..safi sana!
 
...Namna bora ya kuziondoa in future ni kusoma what went wrong, japo ni bora zaidi kutatua tatio kabla halija tokea.

...naaam, naaam,

Muntazir angerusha kiti badala ya kiatu hadithi ingekuwa nyingine hapa.
SS kwa slow reaction yao wameadhiriwa jana, watake wasitake.

Hizo metal detectors zinaweza detect hata manati? ha ha ha...

'Principal' uwanja wa taifa hakuwa exposed kama inavyoonekana, rejea zile picha, halafu usiangalie wenye suti za Versace na Hugo Boss tu...🙂
 
Bush alijiokoa mwenyewe thru his chaka defence style! Walinzi walizembea ila kwa upande mwingine message sent and delivered promptly!
 
Na ana bahati halikuwa jiwe, camera, microphone au likitu lingine ligumu gumu. Na jamaa angekuwa na shabaha angempata....lol....sema jamaa naye alivitupa hivyo viatu kama MWANAMKE
 
Kwa muungwana aliyeniuliza kuhusu Mobile Phone Jammers pichani chini.
Kazi yake sio kukata mawasiliano ya simu za mkononi tu pia inazuia mabomu yanayotumia simu za mkononi kama rimoti ya kuyalipulia Remote Controlled Improvised Explosive Devices (RCIED). Kwa hiyo hii jammer ikiwashwa inazuia mawasiliano kati ya simu na simu au minara ya mawasialiano.
Kuna hizi portable
Slutions.jpg

hp.jpg

Au gari kama ili
f1jv9f.jpg
 
Icadon,
umeiona ile ya jana jinsi Waziri wa Israel alivyo dive baada ya kupata warning ya kombora la hamas. Jamaa alivua kikofia chap chap na walinzi wakamlalia juu.
 
Wakuu mapicha ya ulinzi kwenye maandilizi ya kuapishwa Obama.
 
Kwa muungwana aliyeniuliza kuhusu Mobile Phone Jammers pichani chini.
Kazi yake sio kukata mawasiliano ya simu za mkononi tu pia inazuia mabomu yanayotumia simu za mkononi kama rimoti ya kuyalipulia Remote Controlled Improvised Explosive Devices (RCIED). Kwa hiyo hii jammer ikiwashwa inazuia mawasiliano kati ya simu na simu au minara ya mawasialiano.
Kuna hizi portable

...duuuh, saafi sana, ubaya wa fanatics wanatumia pia Suicide Bombers;
View attachment 3277
...
PM Bhuttos was 1st shot in the head before she slumped into the car​
View attachment 3278
...kufuatia ile 'shock and awe'...​
View attachment 3279
...Suicide Bomber akamalizia na haya hapo...
 
Mkuu Icadon,

......heri ya mwaka mpya mkuu...........hebu tupatie picha za safari ya Obama na ulinzi wake ilikuwaje kuwaje...........
 
kwa kweli ukiangalia hapo taifa, hata kama kulikuwa na undercover ya aina gani hilo gari alilopanda mweshimiwa liko juu sana (HIGH BASE) na hata watu wa usalama wananinginia kwenye gari lao (BMW)ambalo nalo pia ni HIGH BASE, sasa chochote cha kutokea kikitokea inakuwa ni ngumu sana kwa watu wa usalama kuanza kuparamia gari la mweshimiwa ili kumpa msaada. angalia ile picha ya raisi wa KOREA KUSINI, yupo kwenye gari la wazi kiwanjani pamoja na body guards wake lakini wako kwenye LOW BED vehicles
 
Kwa muungwana aliyeniuliza kuhusu Mobile Phone Jammers pichani chini.
Kazi yake sio kukata mawasiliano ya simu za mkononi tu pia inazuia mabomu yanayotumia simu za mkononi kama rimoti ya kuyalipulia Remote Controlled Improvised Explosive Devices (RCIED). Kwa hiyo hii jammer ikiwashwa inazuia mawasiliano kati ya simu na simu au minara ya mawasialiano.
Kuna hizi portable
Slutions.jpg

hp.jpg

Au gari kama ili
f1jv9f.jpg

Jamani nina maswali machache kuhuzu hizo Jammers, Mfano hizo gari, Nimesikia kwamba zina uwezo wa kuzuia hizo remote controlled IED for abt 30m (circle), na je inategemea na ukubwa wa Explosives zilizotegwa ama ndo no matter how big the IED is, itazuiwa?
2. Hizo Jammers zinaweza pia zuia Land Mine?
3. Jammers kazi yake ni kuzuia tu ama pia zinaweza kudetect sehemu zilizotegwa mabomu, ili basi baada ya Misafara yateguliwe?
4. Kama zinazuia mawasiliano, hao waliopo kwenye misafara ina maana hawawasiliani wakiwa kwenye movements ama simu na radio zao haziwi affected na hiyo mitambo?
5. Je hayo magari yanaweza lipuliwa kwa mabomu ya kurushwa ama yako protected kwa aina zoote za mabomu?

Ni hayo tu wapendwa.

Lizy.
____________________________
 
Mr Obama was also shadowed by hundreds of close protection agents and a total of 42,500 police officers, soldiers, FBI operatives and members of the National Guard were on the streets.

There were 5,000 surveillance cameras, 150 intelligence teams mingling with crowds and surfaceto-air weapons focused on the skies where fighter jets patrolled.

Snipers positioned on roof tops near the Capitol had been trained to hit a target as small as a tennis ball from 1,000 yards.

Bridges and 150 city blocks were closed off and items like back-packs and even umbrellas were not allowed anywhere near Mr Obama.
 
Following is the set of raw images(not high quality, unedited..but will give you the idea of how DC was from 18th-20th)
No question asked.
 
Back
Top Bottom