Oya we namna gani baba'ke? mbona unapotea sana.....?? Kama kawa naona unatisha..LOL
Babu kubwa teh teh teh!! Kuna mtaalamu mmoja anasema Gaza 2008/2009 ni sawa na Lebanon 2006....IDF lost!! Kwamba goals za msingi hazikufikiwa na Hamas is well and alive to fight another day! Wewe unasemaje?
![]()
Dereva anayeendesha gari la presidaa, hana uso au vipi??
Nadhani sight mirrow ya kushoto ndio imezuia muonekano wa kichwa.![]()
![]()
Dereva anayeendesha gari la presidaa, hana uso au vipi??
....Masahihisho kidogo tu mkuu, ni Side mirrow -ila message understood.Nadhani sight mirrow ya kushoto ndio imezuia muonekano wa kichwa.
....Masahihisho kidogo tu mkuu, ni Side mirrow -ila message understood.
wakuu, ni mirror, si mirrow!