Walinzi wa viongozi (mataifa mbalimbali) reconstructed

Zifuatazo ni picha za Kennedy.
jfkrare.jpg

altgens2.jpg

altgens.jpg

web-motorcade_full.jpg
 
Video ya tukio lenyewe.
[media]http://www.youtube.com/watch?v=ecZ4YOmPz2A[/media]
 
Shukrani kwa security allert haswa kwa TIS yetu. The bottom line ni kwamba ulinzi wa Rais unatakiwa uimarishwe. Kwa wale wana usalama ambao ni member humu au wanatembelea humu chukueni hii post kama challenge kwenu ili mkashauriane mipango mizuri ya ulinzi wa rais na makazi yake. Kweli nimeamini JF ina well informed experts. Keep it up. Nimejiuliza how do some of us manage to reach very secured information like these??!!! Hii ni msg kwa wale ambao wana imani potofu kuwa hapa jamvini eti mambo yanazushwa. La hasha. Labda wazushi wanaweza kuwa wale vibaraka wachache walitumwa kuharibu hapa na si kwa dedicated JF members. Hongereni sana wale wote walioleta taarifa hizi na ambao wanaendelea kuleta. At least thread ime refresh mind yangu baada ya kuona masuala ya EPA yamesinzia au yamelala usingizi wa pono. Aluta cont......
 
...you are right ICADON, lakini argument yangu ni kwamba, threat level ya 'OP xenophobic' kwenye confined environment kama ile ya uwanja wataifa ni ndogo uki compare na kwenye streets.

Au una wasiwasi isijeikawa kama walivyomfanyia Anwar Saadat?

1. Mitaani, 'walitumia' gari hili;
i151_308w4ef.jpg

2.Uwanjani 'walitumia' gari hili;
i149_34dres1.jpg

3.Tofauti na JFK 'waliotumia' gari hili mitaani;
i150_altgens2.jpg

...Jamaa nawaaminia, wanaweza ulinzi.
 
Mchongoma, jamaa gani wanaweza ulinzi?

Icadon, thanks man. una evaluate vipi jamaa walioning'inia kwenye gari kwa JFK, ukilinganisha na hao wa JMK?
 
...TISS of'coz, nani mwingine?

mkuu kwenye hili siwezi kukubali wala kukataa....labda utuambie umetumia vigezo gani kusema hivyo. On the other hand ni bahati mbaya siko kwenye position ya kusema how it would have been done.
 
mkuu kwenye hili siwezi kukubali wala kukataa....labda utuambie umetumia vigezo gani kusema hivyo. On the other hand ni bahati mbaya siko kwenye position ya kusema how it would have been done.

:eek:

...thubutuuu,

enough have been said, mengine ni classified information. Bora nikashabikie mpira mie... BTW, karoho kananidunda, itakuwaje kesho middlesbrough wakitusimamisha.

simo!
 
:eek:

...thubutuuu,

enough have been said, mengine ni classified information. Bora nikashabikie mpira mie... BTW, karoho kananidunda, itakuwaje kesho middlesbrough wakitusimamisha.

simo!

Shaka ondoa mkuu Middlesbrough mbona wetu mkuu
 
:eek:

...thubutuuu,

enough have been said, mengine ni classified information. Bora nikashabikie mpira mie... BTW, karoho kananidunda, itakuwaje kesho middlesbrough wakitusimamisha.

simo!

Hmm...tukubali tu siku ile taifa kulikuwa na makosa mengi tu....Sasa hao walinzi walioko uku juu darini ata kamba za kushukia faster faster hawana. Ina maana mtu akijibana kwenye ngazi za kushukia kutoka uko juu si atawamaliza wote.
 
Kwa hiyo hakukuwa na ulinzi kwenye hizo ngazi mkuu?
 
mkuu kwenye hili siwezi kukubali wala kukataa....labda utuambie umetumia vigezo gani kusema hivyo. On the other hand ni bahati mbaya siko kwenye position ya kusema how it would have been done.

Hivi tuseme alipouawa Rabin, watu wao hawawezi ulinzi? JFK je? Alipojeruhiwa papa je? inanichanganya kidogo hapa wataalam.
 
Muulize mchongoma anayesema wanaiweza kazi yao....
MegaPayne niruhusu nitumie picha yako.

...ajali kazini tu hiyo mkuu,

...BTW, Indira Gandhi waliomuua walikuwa walinzi wake mwenyewe, kama Mzee Abeid Amaan Karume.
 
i159_JK2BDAUGHTER2B2.JPG

i160_mamajk.JPG

Sioni sign yeyote ya ulinzi hapa. Au picha imekaa vibaya. Icadon tusaidie
 
Back
Top Bottom