Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,871
- 155,840
Nimetembelea shule kadhaa kwa ajili ya kuzindua mradi wa chakula shuleni. Nimekuta mabinti wadogo wadogo wakiwa na pete zao za ndoa.
Hiki ni kiashirio tosha kuwa soko la walimu kwenye sekta ya ndoa liko juu ukilinganisha na wafanyakazi wa benki, ambako kwenye wasichana 12 ni mmoja tu ndo mwenye ndoa.
Hongera sana walimu.
Hiki ni kiashirio tosha kuwa soko la walimu kwenye sekta ya ndoa liko juu ukilinganisha na wafanyakazi wa benki, ambako kwenye wasichana 12 ni mmoja tu ndo mwenye ndoa.
Hongera sana walimu.