Walimu waongoza kwa kuolewa ukilinganisha na sekta nyingine

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,427
154,274
Nimetembelea shule kadhaa kwa ajili ya kuzindua mradi wa chakula shuleni. Nimekuta mabinti wadogo wadogo wakiwa na pete zao za ndoa.
Hiki ni kiashirio tosha kuwa soko la walimu kwenye sekta ya ndoa liko juu ukilinganisha na wafanyakazi wa benki, ambako kwenye wasichana 12 ni mmoja tu ndo mwenye ndoa.
Hongera sana walimu.
 
Hii nakubaliana nawe ujiuji oooooh!bujibuji.Unajua hata kipind mi niko chuo,vijana wengi walikuwa wanapropose kuoa walimu,sababu zao zikiwa ni hizi
1. Niwavumilivu wana uwezo wa kushi mazingira yoyote
2. Ni watu wabajeti sana,yaani wanajua kuipangilia fedha.
3. Kazi yao haina interaction na mabazazi wa wake za watu maofisin kama ilivyo ofisi nyingine,kwan mara nying staff za walimu zina walimu wa kike.hvyo social interaction yake ni yeye na wanafunzi zaid na familia zao
3. Ukioa mwalimu lazima wanao watasoma hata angalau f4 kwani wanaona fetheha yeye kuwa mwalimu halafu asiwe na mtoto hata mmoja aliyesoma hivyo wako radhi hata kuba paper ilimrad mwanae afaulu.
 
Wa benki kwanza wanachungulia account yako imekaaje !!!!!!! Ina dbit balance au credit. Transaction zinaendaje.
<br />
<br />
Wanasheria ndio kabisaa.unaweza ukafungua hata mahakama au chember court hapo nyumbani. Ni wajuaji sana kila kitu wanataka kiende kisheria sheria,ikiwezekana unapoongea uwe unafanya na citation kabisa.
 
Bombu nafikiri ni zaidi ya hapo maana hata hao waliooa walimu kuna wengine wana vipato zaidi ya waume zao. Sidhani kama issue ya kipato inaingia hapo maana kuna wengine ukichanganya na tuition hizi wana kipato zaidi ya waume zao.
 
mimi pia mwalimu.
natafuta mwalimu mwenzangu.
watoto tukiwazaa tutawaita darasa la kwanza .la pili.la4
 
Wanaume wengi hawapendi wanawake wenye vipato vya juu. Hivyo mostly walimu ndo wanyonge wao, lol


suala sio mshiko ni wastaarabu kuliko wanawake wengine pia wanafundishwa maadili mazuri na wanaweza kuishi hivyo... mwalimu hata akiwa na bilioni bank lakini maadili yake ni yakiualimu tu ..ataheshimu ndoa yake.
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom