Walimu waongoza kwa kuolewa ukilinganisha na sekta nyingine

walimu wanaongoza,kwa sekta ya umma hapa nchini hawana mpinzani juu ya hilo swala
 
kumbe ndo maana siolewi bwana ngoja nibadilishe fani naenda ualimu wa chekechea kabisa
Si fani na bahati pia.Pia walimu hawajifanyi matawi ya Juu kama hawa dada zetu kutoka elimu ya juu ndo maana wanakosa wachumba.
 
Wa benki kwanza wanachungulia account yako imekaaje !!!!!!! Ina dbit balance au credit. Transaction zinaendaje.

Heeeeeh! Kwani pesa zako mkeo hutaki azijue? Mimi na mke wangu tunajointi akaunti pesa zetu tunatumbukiza kwenye kapu hilo na tinaishi kwa amani tele.
 
  • Thanks
Reactions: SG8
Manesi wana upendo wa ajabu kweli. Ni wazi si manesi wote lakini ile kazi bana huwezi kuifanya kama kwa asili wewe si mtu wa upendo kwa watu.

Na hizo zamu za usiku wala si ishu.

Wang'wa baba, hii ni issue kubwa kama mkeo si mwaminifu na mcha MUNGU. Huwa ni rahisi sana kuchiti na madaktari huko Hospitalini wawapo zamu usiku. Utafiti uliofanywa TZ imegundulika kuwa hata viwanda vyenye shifti za mpaka usiku vina wagonjwa wengi wa ukimwi maana wanazungukana humohumo, leo yuko na fulani kesho yuko na fulani. Mtu mmoja pia aliyekuwa anafanyakazi Swissport aliniambia kuwa Swissport kuna ufuska uliovuka mipaka. Wake za watu wanabadilisha wanaume kutokana na aliyezamu naye usiku huo na wanaume hivyohivyo. Kazi za usiku kwa ujumla hazifai kabisa.
 
Ong'wise, mke kama ni kicheche ni kicheche tu na atamegwa (atagawa) tu hata kama anafanya nine to five. Watu huwaga wanatiana sana maofisini after hours.

Lakini kama mwanamke mwenyewe ana loose morals halafu anapiga graveyard shift basi ujue huna mke wapo. Na wewe tafuta wa kwako pembeni uwe unajisevia au kila mtu aanze kivyake.
 
Madem wengi baada ya kugundua walim wana soko,sasa eductn imekuwa dili,hakuna tena yale maadili ya zamani,nenda duce,muce,ng'ong'ona,sjut,saut,udsm utaona,bora kuoa tu umpendae sio kazi,bt i admire teacher!
 
ma Doctor na ma Lawyer wengi wao wanajifanya wajuaji,wao ndiyo wenye busara,wasomi.Ukiwa nae ni mi arguments tu!
 
hawa sio sana japo wanajitahidi kuwa na maadili... wewe oa mke mwalimu wa primary uone....hata kama una buku siku hiyo una uhakika wa kula

sana, hakosi vijisenti vya kusukuma kutokana na tuition, dah acha nifanye mpango mkakati
 
Operative word there is "wanajifanya".

Unamaanisha nini?Kwamba wanajifanya tu lakini kiukweli hawajui au?Niliyowahi kukutana nao,ni kweli walijaa maarifa.Binafsi napenda demu smart,ani challenge,lakini siyo hata kwenye inshu ambazo ziko wazi tuanze bishana,kuonyesha nani ni more knowledgeable.
 
Unamaanisha nini?

Nimemaanisha hiki

lakini siyo hata kwenye inshu ambazo ziko wazi tuanze bishana,kuonyesha nani ni more knowledgeable.

Hakuna kitu kinachonikera kama kubishania kitu ambacho kiko wazi. It's a wastage of time, breath, and effort.

I like a woman with common sense. To me common sense reigns supreme. With it, almost every desirable quality is corollary.
 
Back
Top Bottom