Walimu waongoza kwa kuolewa ukilinganisha na sekta nyingine

<br />
<br />
Wanasheria ndio kabisaa.unaweza ukafungua hata mahakama au chember court hapo nyumbani. Ni wajuaji sana kila kitu wanataka kiende kisheria sheria,ikiwezekana unapoongea uwe unafanya na citation kabisa.

acha kukariri wewe!tatizo lenu mnapenda kupata watu wa kuwaburuza
 
Kuna mzee mmoja alinambiaga "dogo ukitaka kuoa oa mwalimu familia yako itakuwa na maadili sana" ila hakutaja why not the other side.
 
Nyie jipeni moyo tu.uzuri wa mwanamke ni tabia yake tu.tena omba Mungu usipate huyo mwlm afu akawa na tamaa,hana hela na kukusumbua anakusumbua!
 
aisee kweli wewe mchunguzi, lakini wengi wanaolewa kwa sababu ya kukimbia vijijini, maisha magumu huko
 
Sijui kama ndo zao ni za kweli, ni kweli walimu (wakike) wanaongoza kwa kuolewa lakini kuna sababu, walimu wengi wa kike wanaolewa ili wapate nafasi ya kufundisha shule za mjini, mwl akifunga ndoa mara utamuona anaanza kutafuta uhamisho, nini? namfuata mume wangu, halafu ndoa zao nyingi ni za bomani, wachache sana wanaofunga ndoa za kidini (christian/islamic)
 
Bora sio ndoa za mkeka
 
Jamani mnenifurahisha sana kwa comments. Jamani wale ambao hatukuoa walimu tusiwe na mashaka pia tumepata wake wazuri. isiwe chanzo cha kutafuta wanawake wengine bure........
 
Pia msisahau kuwa wasichana wengi wazuri huwa hazichaji sana darasani kwahiyo wengi wao huishia kuwa walimu wa shule za msingi na sekondari kama amejivuta kidogo. Ukitaka kuthibitisha hili tembelea vyuo vya ualimu utafikiri wasichana wazuri walichujwa wakapelekwa huko.

teh teh teh dah!Umejuaje..!Vyuo vya ualimu kuna mabinti jamani duh.
 
aisee kweli wewe mchunguzi, lakini wengi wanaolewa kwa sababu ya kukimbia vijijini, maisha magumu huko

Bila ya kujalisha sababu ya ndoa, na aina ya ndoa, lakini si wanaolewa?? Mbona mabenka hawaolewi??
 
Huu utafiti umetulia kweli, japo kwenye msafara wa Mamba hukosi Kenge....
Ukweli ndo huo kuna faida kubwa sana kuoa Mwalimu....
 
Back
Top Bottom