Mimi sijasema mwanamke asifanye kabisa ni nope napinga hii kitu ya wanaume kulazimisha mke afanye yote hata kama Kuna mfanyakazi mfano, huyu mleta mada alivunja ndoa kwa ujinga hivi mtu anafanya kazi za ofisi busy na ana wafanyakazi unataka akirudi bado ateseke Ili kumu please mume wakati hao wafanyakazi wanalipwa kwa hyo kazi?
Nimekuelewa sana hapa. !!!
 
Mimi kupata unyumba hadi yeye atake , kuna kipindi alinipiga desh wiki 2 , bac siku aliyokuwa na hamu , alianza kujichekesha toka dinner, mapema akaenda kwa bed , nami nikasema ngoja nimuoneshe nami nikawahi kwa bed nikalala nikampa mgongo , akajiongelesha wee mi nikajifanya nakoroma , hadi asubuhi , dah hizi ndoa hizi
Aiseeeh!!
 
Kunywa soda kwa hela yako.

Na mkichukuliana hivi hakuna ngumi wala magomvi.

Shida ni kutaka kuishi na wake zetu kama babu na baba zetu walivyoishi na wake zao.

Tunasahau wao walikuwa wamama wa nyumbani.......

Leo unataka kuoa mwanamke mwenye kazi na elimubyake. Utegemee apambane na kazi...akoromewe na wateja...agombezwe na bosi wake...apambane na deadlines.......arudi nyumbani kuchota maji ya kuoga kupika na kufua

Hapa itakuwa mnatafutiana lawama.

Dawa ni kuweka mtumishi wa nyumbani....rahisisha kazi kwa mashine.....ukiweza kuvuta maji au kuchimba visima hakikisha una bafu linaloruhusu maji ya kuoga kuachana na kuchotewa mwisho uchotewe watoto wa chura!!!!

Hao wake zenu wanatumia damu na kutoka jasho pia.
Mkuu hapa wanaume wenzio watasema wewe sio mwanaume kamili sababu haumtumikishi mke wako.
 
Kunywa soda kwa hela yako.

Na mkichukuliana hivi hakuna ngumi wala magomvi.

Shida ni kutaka kuishi na wake zetu kama babu na baba zetu walivyoishi na wake zao.

Tunasahau wao walikuwa wamama wa nyumbani.......

Leo unataka kuoa mwanamke mwenye kazi na elimubyake. Utegemee apambane na kazi...akoromewe na wateja...agombezwe na bosi wake...apambane na deadlines.......arudi nyumbani kuchota maji ya kuoga kupika na kufua

Hapa itakuwa mnatafutiana lawama.

Dawa ni kuweka mtumishi wa nyumbani....rahisisha kazi kwa mashine.....ukiweza kuvuta maji au kuchimba visima hakikisha una bafu linaloruhusu maji ya kuoga kuachana na kuchotewa mwisho uchotewe watoto wa chura!!!!

Hao wake zenu wanatumia damu na kutoka jasho pia.
Unapoongea haya ukumbuke kuwa vijana wanaooa wake sahizi wengi hawana maisha ya Yusuph Bhakressa wala, Mo Dewji ama Reginald Mengi!

Hayo ma gadgets na mavitu kibao utayaweka wapi ikiwa umepanga zako Magomeni mwembechai? Kazi yako ni boda boda hebu tuangalie maisha in wide dimensions kidogo tusiangalie kama vile wote ni wakazi wa Masaki na Oysterbay!

Hao waajiiriwa tu hawana life hilo! Wengi tia maji tia maji
 
Duh something for the kids uwe unatafta mda wa kukaa nao nakutoka out, pia uwe una wa spoil na vitu wanavopenda, huyo mkeo sorry to this ana akili ndogo na Ali grow mazingira ya ajabu hivi mama wa nyumbani anashindwaje kuandaa hata chakula kizuri au kuparua samaki si aibu tupu.
Na hizo sumu anazowalisha watoto waeleze a, b, c, d isije ku ku cost wewe ka provider siku ukiwa mtu mzima utengwe bure iwe ka hujazaa
Hata Mimi nashangaa huyo mwanamke mjinga sana kila siku YouTube zinafundisha upishi yeye nimama wa nyumban hata kupika kunamshinda duh ajabu kwel
 
Unapoongea haya ukumbuke kuwa vijana wanaooa wake sahizi wengi hawana maisha ya Yusuph Bhakressa wala, Mo Dewji ama Reginald Mengi!

Hayo ma gadgets na mavitu kibao utayaweka wapi ikiwa umepanga zako Magomeni mwembechai? Kazi yako ni boda boda hebu tuangalie maisha in wide dimensions kidogo tusiangalie kama vile wote ni wakazi wa Masaki na Oysterbay!
Bora umwambie, eti washing machine...mtu anaishi chumba kimoja hiyo washing machine anaitoa wapi.
 
Hapana mkuu huyo dada yupo sahihi kabisa,hili jambo haliwezekani kwa wanawake wengi.

Kwa wanaoweza acha wafanye,kwa ambao wanashindwa wasibezwe kwa sababu ni kweli na wao wanachoka.

Imagine mke mwalimu anarudi labda saa tisa kazini,akifika nyumbani kachoka hapo aanze kufua,kupika,kuosha vyombo huku wewe baba kama baba au mume umetulia kwenye sofa unachati jamii forum ukiwa na soksi miguuni zenye vitobo vimetafunwa na panya unasubiri kula.

Hii haikubaliki,nenda kamsaidie mkeo kazi kwa sababu wote mumetoka kazini.

Wanaume wengi wakitz bado tuna umwinyi sana na upuuzi flani ambao hauna maana yeyote,kwanza hizo kazi sio lazima kwa mwanamke kufanya kijamii tu ndio kwa kuwa wanawake wengi ni watu wa nyumbani ndio imeonekana ni kazi zao.
Africa tumeendekeza utumwa.
Hizo kazi kila mtu anaweza kuzifanya na wala hazichagui jinsia especially kama wote mnachoka.

Africa wanaume wanataka waishi kama walemavu.
 
Back
Top Bottom