Kuna wanaume wanakuwaga na mtazamo kama huo uloandika hapo, basi iwapo ikitokea wakaenda nchi za Ulaya na America mfano kwenda kusoma au kuishi kwa muda fulani reasonable hujifunza kuona jinsi wanaume wa jamii zile wanavyosaidiana na wake zao kazi za nyumbani na kuona kumbe ni jambo la kawaida kabisa na wala sio ubwege kama uunavyozani na wengine wa nchi maskini.!

Wengine wanarejea bongo huanza kuwaambia wake zao sababu watoto walau wamekua kiasi basi hainahaja ya kuishi na mayaya sababu ya usumbufu wao, hivyo tujipange mimi na wewe tusaidiane kazi za hapa tukishatoka kwenye shughuli zetu kisha maisha yanaenda vizuri.
Hayo ni ya ulaya na usisahau kuwa wale wa ulaya waliofundisha hii 50/50 wao ipo mpaka kwenye ku split bills!

Mnaenda hotelini mke analipa 50K na mume 50K ndio aina yao ya maisha kule na wako fine with it 😅!

Jaribu kwa mkeo hapo Temeke mwambie ada ya junior ni 2.8M kwa mwaka yeye atoe 1.4M na wewe ujazie 1.4M ili mumlipie mtoto ada uone atakavyo fyum😅😅😅 na uone kaka utakula mbususu mwezi mzima?
 
maneno ya kujifariji tu hayo kila mtu hupata mtu wa type yake tena kusuuza rungu ka wote tuli enjoy no problem at all, wewe ukila mua na kutupa maganda yake hyo inakuwa furaha kwa chungu ku enjoy, tafuteni wanawake mnao wa mudu, wewe dhaifu kila idara unatafta strong woman aliyekuzidi kila kitu, kuanzia akili, hela hadi dhambi Matokeo yake ni kulia lia humu JF
Ndio uendelee na Marioo wako ila usiseme hawapo TUPO.
 
Mapenzi yenyewe wanatoa kwa masharti yani wanawake wa sikuhizi hawana jema wala usitegemee wanaweza kufanya hata jukumu moja la ndoa kwa 100%!
Yaani ni balaaa tupu. Vijana tuendelee tuu kula mbususus za badoo na tinder. Haya mambi ya kuweka mwanamke ndani nikujitakia stress
 
Asante ndugu. Hatuongelei hobbies hapa - kuogelea, kwenda mbugani, kucheza ama kuangalia mpira, nk. Tunaongelea usafi wa kawaida tu katika maisha. Kwa hiyo unanishauri aendelee tu kupika kinyeo cha kuku kwa vile akili yake haioni kuwa ni kitu cha kawaida ila kule kwenye kuogelea anakopenda ndio nimsapoti, siyo? Halafu hili la house girl kwa nini watu wanafikiri Watanzania wote milion 60 wana uwezo wa kupata house girl. Kama hilo linawezekana, nani atakuwa house girl wa house girl atatoka wapi sasa - Malawi?
Unapomjaza interest zako wakati si zake utaishia kuumia tu na kubeba mzigo moyoni.

Badala ya kutaka ajifunze ynavyopenda ajifunze chunguza yupo vizuri kwenye nini? Interest yake ni nini? Ndoto zake binafsi yeye kama binadamu ni nini? Umpush huko!!!
 
Sasa mwanaume mwenye kipato kidogo wa nini jamani????

Wanaume wote waliojaaa wenye hela na kujielewa jamani.
Chaiiiii mwanamke utalipaje bills jamani???kuhudumia nyumba na watoto ni jukumu la mwanaume.
Kamwe usichukue majukumu yake.
Mwache apambane alete chakula mezani.

Jukumu la mwanaume kuhakikisha mke na watoto wanakula, kulala na kupata mahitaji muhimu ikiwemo elimu bora kwa watoto.
Mwanamke kulipa bills na kusimamia majukumu hii inamuondolea confidence mwanaume na ndo chanzo cha migogoro kama ndoa ya mleta mada.

Kazi ya kipato cha mwanamke ni moja tu kusaidia kuwa msaidizi yaani kujazilia sehemu ndogo sana, kuweka akiba pale mume siku akibanwa unampiga tafu, kuwa huru na kipato chako pia nikiamua kuwatoa out including mume ninatoka nae nalipa bills vizuri tu tunaenjoy maisha. Yeye pia ni binadamu iko siku atakwama, anaweza ugua au kupata matatizo mda mrefu kipato changu na akiba nilizoweka zitatusaidia tusongeshe gurudumu la maisha.

Kwanza kwa kumbukumbu zangu wanaume wasiokuwa na hela wana shida sana,mleta mada ni mmojawapo alizidiwa elimu na kipato na mke wake, ikamuondolea uanaume wake na kupelekea maugomvi na talaka.

Wadogo zangu waepukeni wanaume wasio na kipato hawana jema hata kidogo atakunyanyasa kwa kipato chako, atakudhalilisha kwa kipato chako yaani atapambana kuhakikisha unakuwa chini kama yeye kiuchumi na kifikra.
Kwa hiyo mwanaume mwenye kipato kidogo yeye hastahili kuwa na mwenza? Hii dunia inaenda kasi sana, anyway kila mtu anapata fungu lake.
 
Sidhani kama umemuelewa freshi! Mwanaume anafanya part yake kama baba na wewe mke inakubidi ufanye part yako kama mama.

Theres no excuse in being a woman na utekelezaji wa majukumu yako! Kitu ambacho mnajichanganya ni kuwa kama ilivyo option kwa wewe kumsaidia mume mambo ya pesa nayeye kwake ni option kukusaidia majukumu yako kama mama wa familia!

Kama unaona kazi inakupa mzigo unashindwa kufanya majukumu yako ya kifamilia basi wewe acha kazi shinda home ili ufanye nafasi yako!
Mimi sijasema mwanamke asifanye kabisa ni nope napinga hii kitu ya wanaume kulazimisha mke afanye yote hata kama Kuna mfanyakazi mfano, huyu mleta mada alivunja ndoa kwa ujinga hivi mtu anafanya kazi za ofisi busy na ana wafanyakazi unataka akirudi bado ateseke Ili kumu please mume wakati hao wafanyakazi wanalipwa kwa hyo kazi?
 
Kunywa soda kwa hela yako.

Na mkichukuliana hivi hakuna ngumi wala magomvi.

Shida ni kutaka kuishi na wake zetu kama babu na baba zetu walivyoishi na wake zao.

Tunasahau wao walikuwa wamama wa nyumbani.......

Leo unataka kuoa mwanamke mwenye kazi na elimubyake. Utegemee apambane na kazi...akoromewe na wateja...agombezwe na bosi wake...apambane na deadlines.......arudi nyumbani kuchota maji ya kuoga kupika na kufua

Hapa itakuwa mnatafutiana lawama.


Dawa ni kuweka mtumishi wa nyumbani....rahisisha kazi kwa mashine.....ukiweza kuvuta maji au kuchimba visima hakikisha una bafu linaloruhusu maji ya kuoga kuachana na kuchotewa mwisho uchotewe watoto wa chura!!!!


Hao wake zenu wanatumia damu na kutoka jasho pia.
Tatizo ni wewe mkuu sio mkeo.

Kwa karne hii ya 21 mkuu mkeo ishi nae kama demu wako,ishi naye kama rafiki yako na usiishi na mkeo kama mke wako.

Kuishi na mkeo kama demu wako maana yake mnaweza kupiga stori za nje ya mapenzi pamoja kwa muda mrefu mkiwa katika interest moja,sio muda wote mapenzi tu,hakuna maisha ya muda wote mapenzi tu,mapenzi yana muda wake na maisha mengine yana muda wake.

Dunia ya sasa sio lazima mkeo afanye kazi za ndani yeye,unaweza kumsaidia au mkafanya pamoja au ukatafuta mfanyakazi afanye.

Sio lazima yeye apike,tafuta mfanyakazi apike yeye.

KAMA MKE ANAENDA KAZINI KAMA WEWE NA ANARUDI BAADA YA MASAA KADHAA KAMA WEWE BASI ACHA HUYO MKE AWE KAMA WEWE tu yaani asifanye kazi za nyumbani kama ambavyo wewe hufanyi unaporudi kazini.

Kusolve jambo hili ungekuwa ukirudi kazini unaanza kummotivate wewe unamuambia wife mimi nafanya kazi hizi wewe fanya kazi hii,ili aone kwamba inawezekana kurudi kazini na kufanya kazi.

KWA MAANA NYINGINE TU NI KWAMBA SIO LAZIMA MKE KUFANYA KAZI ZA NYUMBANI,KUNA KAZI MOJA YA LAZIMA TU KWAKW KUIFANYWA KUIFANYWA KUIFANYWA.
 
Mimi sijasema mwanamke asifanye kabisa ni nope napinga hii kitu ya wanaume kulazimisha mke afanye yote hata kama Kuna mfanyakazi mfano, huyu mleta mada alivunja ndoa kwa ujinga hivi mtu anafanya kazi za ofisi busy na ana wafanyakazi unataka akirudi bado ateseke Ili kumu please mume wakati hao wafanyakazi wanalipwa kwa hyo kazi?
Kama kuna mfanyakazi haina shida sababu yupo ili kusaidia majukumu kadha wa kadha. Ila ikumbukwe yule ni msaidizi kwahio kuna mambo madogo ambayo unaweza kuyafanya around your man kama kumtengea chakula mkala hilo halina excuse!

Shida ni ile mke kutokujigusa kabisa yani anataka kila kitu mfanyakazi afanye mpaka ambayo yanakuhusu wewe direct mwishowe mmeo anakula posho yake kwa dada wa kazi😅
 
Back
Top Bottom