Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 29,352
- 83,833
Oohh kwahiyo hata mwanaume awe na kipato kidogo kuliko mkewe bado atatakiwa kusimamia majukumu yake yote like kulipa bills na kumhudumia mkewe na watoto wake? Na asiulize kabisa kipato cha mke wake kinaenda wapi right?Nataka kusema kitu kimoja
Wadogo zangu mlioolewa na msioolewa ndoa ni sacrifice kwa mwanamke!
Mwanaume ni kiongozi wa mwanamke,tunafeli kutaka kua sawa na wanaume.Hiko kitu hakipo na hakitakaa kiwepo hata usome mpk wapi au uwe na mshahara billions of cash...!!!Labda uolewe na wazungu hukoo au mukubaliane kimkataba b4 hamjaona kua mtaishi kizungu zungu ila hawa wa kitanzania utaenda kazini,utarudi na utamhudumia yeye binafsi uchoke usichoke utajiju.
Ukihisi huwezi kumtake care mwanaume au unapretend ukiolewa unaonesha makucha yako mtashindwana mwisho kutafutiana lawama kuzungushana mahakamani Bure.
Kingine hakuna mwanaume anapenda mkewe amzidi kipato ikitokea ndo hvyo atakubali lakini wengi inakua shida plus mawivu na maugomvi.
So choose wisely mwenza wako,na Mungu awasimamie sana.
Ndoa ni changamoto sana,siku hizi sihukumu wanandoa mmegundua wake na waume wotee vimeo Siku hizi.