Aya ya kwanza unasema ulioa akiwa corporate lady mwanasheria mwenye connection then badae unasema wewe ndo ulimlink na kumsomesha kitu ambacho kinapingana na mwanzo wako mkuu kwa jinsi hii shida ipo kwako ulioa pesa zake anyways inaonekana uyo manzi ni wale don care na wewe ni wale wanaojali flani pole kwa kuachika
Muongo huyo alitaka tu story yake iwe relevant akaona aongezee kuwa yeye ndio alimpa maisha. Ukute yeye ndio alikuwa jipu.
 
NGOMEKONGWE2021 - Tupo wengi, kiongozi. Mie pia watoto 4 kama wewe. Miaka 12 ya ndoa. Mama wa nyumbani. Tatizo hawezi kujifunza kitu.

Kila siku ni shida tupu ndani ya nyumba. Mfano, hawezi kutoa magamba ya samaki yakaisha yote kabla ya kumpika samaki. Chakula anavyonunua kwenye supermarket, ndivyo navyokipika!

Anaweza kupika nyama ya kuku na kinyeo chake ama bado kuna kiasi fulani cha vinyoya!! Hata nikimweleza vipi, akili yake haishiki!! Hataki niwafundishe watoto. Nikiwakosoa watoto kwa namna ya kuwafundisha, anakuja juu.

Watoto wananiona mimi shetani na yeye malaika. Amejenga chuki kati yangu na watoto ambao bado ni wadogo tu. Sijawahi kumpiga ama kuchepuka lakini nilikwisha mwambia kuwa tungekuwa tunaoa mara ya 2, nisingemuoa tena. Sina hamu tena hata ya kulala naye.
Khaaah!! Hebu kuweni wanaume jamani.
Jando lirudishwe tu
 
Ndugu hapo hamna ishu hata hao watoto angalia Mara mbili huenda wewe sio baba yao ndio maana hataki ujihusishe nao nafsi yake inamsuta
 
Aya ya kwanza unasema ulioa akiwa corporate lady mwanasheria mwenye connection then badae unasema wewe ndo ulimlink na kumsomesha kitu ambacho kinapingana na mwanzo wako mkuu kwa jinsi hii shida ipo kwako ulioa pesa zake anyways inaonekana uyo manzi ni wale don care na wewe ni wale wanaojali flani pole kwa kuachika
Ni wew ndo umetafsiri Ivo, kwani siwezi kumfanya Dem wangu akawa corporate Kisha nikaoa?
 
Yaani unampiga mkeo kisa hajapika au hajafua! Hivi sijui kwanini mnafananisha mwanamke anayetafuta pesa na anayeshinda nyumbani, mkae mkijua hawa ni wanawake wa aina mbili tofauti yaani hawatakaa wawe sawa, kama ambavyo mwanaume tajiri na mwanaume masikini hawako sawa kwenye hii dunia!

Mwanamke anayekusaidia wewe kutafuta pesa usitegemee ataweza kutimiza majukumu yake kikamilifu kama anavyofanya mama wa nyumbani, ninyi wenyewe si ndiyo mmetaka haya mambo ya kusaidiana maisha, kwa kukimbia majukumu yenu! Basi kama vipi oeni wanawake wasiosoma muwahudumie tu!
Huo ndio ukweli uliopo kuna wanawake wa aina mbili mama wa nyumbani na mfanyakazi ambaye naye anasukuma gurudumu la kiuchumi kwenye familia na hii imenikumbusha ushauri wa mwalimu wangu nikiwa chuo alisema kuna mambo ambayo anayafanya mke wako kama hayana madhara kwako achana nayo usiyatilie maanani sana kitu kama kufuliwa nguo na yeye, kukupikia au kukuwekea maji ya kuoga bafuni yaani anaweza kukuchotea maji yeye au binti wa kazi wewe ukabeba na kwenda nayo bafuni.

Kufuliwa nguo na binti wa kazi isipokuwa boxa zako is not an issue ninachomaanisha sio kila kitu ukichukulie maanani sababu unajua kabisa mnatoka wote asubuhi kwenda kazini mnarudi jioni wote kama ataweza kuingia jikoni sawa lakini kama dada kafanya kila kitu whats the problem, mimi nachozingatia kikubwa papuchi sikosi na heshima yangu kama mume na baba wa familia ipo pale pale na kweli sijawahi mpiga hata kibao sababu maudhi mengine najitahidi kuyakwepa mapema.
 
Sasa hivi kuna mageuzi makubwa katika mfumo wa maisha ya kijamii yanayokinzana na asili ya utashi wa nafsi zetu......

Kiasili mwanadamu ni kiumbe anayependa uhuru na kujiamulia mambo yake.....kwa kulitambua hilo ndio maana Mungu akaweka muongozo kupitia dini......

Huo muongozo ndio unaomfanya mwanadamu awe katika ustaarabu na kuleta msawazo wa maisha kwenye jamii.......

Jamii taratibu zinajitoa kwenye miongozo hiyo kwa mgongo wa utandawazi, haki sawa na haki za binadamu........

Hali hii imeleta mkanganyiko mkubwa kwenye jamii hasa kuanzia ngazi ya familia.......

Hali hii imepelekea wanaume wajione hawana thamani mbele ya jamii na wanawake wamejawa na viburi na jeuri.........

Matokeo kuporomoka au kuzorota kwa taasisi muhimu ya ndoa ambayo ndio msingi wa maadili na ustawi kwenye jamii.......

Mwanaume anawaza apate mwanamke ampe mimba ili apate watoto na wanawake wanawaza wapate mwanaume wa kumpa mimba ili apate watoto kwa sababu anamudu gharama za maisha......kwa kifupi jamii ipo kwenye mkanganyiko kama sio mchanganyiko........
 
Nilikuja kujuta sana manake kazi zoote na mambo yooote ya nyumbani yalikuwa yanafanywa na mabeki tatu kuanzia Kufua nguo zangu, maji ya kuoga, kupika nk alikuwa hana time kabisa na nyumba yake. Hajui chochote kinachoendelea nyumbani kwake kila kitu anabishana na kushindana.
Tatizo ni wewe mkuu sio mkeo.

Kwa karne hii ya 21 mkuu mkeo ishi nae kama demu wako,ishi naye kama rafiki yako na usiishi na mkeo kama mke wako.

Kuishi na mkeo kama demu wako maana yake mnaweza kupiga stori za nje ya mapenzi pamoja kwa muda mrefu mkiwa katika interest moja,sio muda wote mapenzi tu,hakuna maisha ya muda wote mapenzi tu,mapenzi yana muda wake na maisha mengine yana muda wake.

Dunia ya sasa sio lazima mkeo afanye kazi za ndani yeye,unaweza kumsaidia au mkafanya pamoja au ukatafuta mfanyakazi afanye.

Sio lazima yeye apike,tafuta mfanyakazi apike yeye.

KAMA MKE ANAENDA KAZINI KAMA WEWE NA ANARUDI BAADA YA MASAA KADHAA KAMA WEWE BASI ACHA HUYO MKE AWE KAMA WEWE tu yaani asifanye kazi za nyumbani kama ambavyo wewe hufanyi unaporudi kazini.

Kusolve jambo hili ungekuwa ukirudi kazini unaanza kummotivate wewe unamuambia wife mimi nafanya kazi hizi wewe fanya kazi hii,ili aone kwamba inawezekana kurudi kazini na kufanya kazi.

KWA MAANA NYINGINE TU NI KWAMBA SIO LAZIMA MKE KUFANYA KAZI ZA NYUMBANI,KUNA KAZI MOJA YA LAZIMA TU KWAKW KUIFANYWA KUIFANYWA KUIFANYWA.
 
NGOMEKONGWE2021 - Tupo wengi, kiongozi. Mie pia watoto 4 kama wewe. Miaka 12 ya ndoa. Mama wa nyumbani. Tatizo hawezi kujifunza kitu.

Kila siku ni shida tupu ndani ya nyumba. Mfano, hawezi kutoa magamba ya samaki yakaisha yote kabla ya kumpika samaki. Chakula anavyonunua kwenye supermarket, ndivyo navyokipika!

Anaweza kupika nyama ya kuku na kinyeo chake ama bado kuna kiasi fulani cha vinyoya!! Hata nikimweleza vipi, akili yake haishiki!! Hataki niwafundishe watoto. Nikiwakosoa watoto kwa namna ya kuwafundisha, anakuja juu.

Watoto wananiona mimi shetani na yeye malaika. Amejenga chuki kati yangu na watoto ambao bado ni wadogo tu. Sijawahi kumpiga ama kuchepuka lakini nilikwisha mwambia kuwa tungekuwa tunaoa mara ya 2, nisingemuoa tena. Sina hamu tena hata ya kulala naye.
Vipi matokeo yake ya darasani yalikuwaje?
 
Back
Top Bottom