uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 14,695
- 26,488
Nna mwezi mmoja toka nimefunga ndoa! Mnanitisha wakongwe! Tunavyopendana speed 120 kumbe kuna siku litashuka sitaki kuamini
Baada ya miaka 13 ndo nilijua nimekosea, bado sana Ndugu! Ndoa ni Jambo gumu sana, huwezi elewa!