Hata ukienda kwenye bucha ya samaki ukawaambia watoe matumbo na magamba bado yapo yanayobaki ya kwenda kumalizia nyumbani unapowaosha kabla ya kuweka kwenye sufuria. Hakuna bucha ambayo wanatengeneza samaki wa kufika tu na kuweka kwenye chungu.
Duuh..pole sana.
Ila hapo kwenye samaki na kuku kuna mbadala.
Sidhani kama kuna ulazima wa yeye kukwarua samaki na kukata vinyeo, unless otherwise mnawavua wenyewe..
Wanaowauzia wanaweza fanya hayo mkipenda
 
NGOMEKONGWE2021 - Tupo wengi, kiongozi. Mie pia watoto 4 kama wewe. Miaka 12 ya ndoa. Mama wa nyumbani. Tatizo hawezi kujifunza kitu. Kila siku ni shida tupu ndani ya nyumba. Mfano, hawezi kutoa magamba ya samaki yakaisha yote kabla ya kumpika samaki. Chakula anavyonunua kwenye supermarket, ndivyo navyokipika! Anaweza kupika nyama ya kuku na kinyeo chake ama bado kuna kiasi fulani ya vinyoya!! Hata nikimweleza vipi, akili yake haishiki!! Hataki niwafundishe watoto. Nikiwakosoa watoto kwa namna ya kuwafundisha, anakuja juu. Watoto wananiona mimi shetani na yeye malaika. Amejenga chuki kati yangu na watoto ambao bado ni wadogo tu. Sijawahi kumpiga ama kuchepuka lakini nilikwisha mwambia kuwa tungekuwa tunaoa mara ya 2, nisingemuoa tena. Sina hamu tena hata ya kulala naye.
Aisee, kwa hali hii tutaoa kweli?
 
Being a woman isn't easy..ukikaa nyumbani utaitwa golikipa hata ukifanya majukumu yote utatafitiwa sababu

Ukienda kutafuta 'msaidiane' ukirudi bado utatafitiwa sababu na kuonekana less of a woman, ukisema umechoka unaambiwa kipato kinakupa jeuri
Si ndiyo hapo sasa mimi hili nitapinga miaka buku! Haiwezekani mume na mke wasaidiane kulipa bills!

Then linapokuja suala la kazi za nyumbani wote mnaenda kazini asubuhi mnarudi usiku mmechoka! Ila mkirudi mke ndiyo apike aoshe vyombo na bado afue na afanye usafi mume kumsaidia hataki na mkiweka housegirl lawama duuh!
 
Very funny...kwanza nilimsomesha mwenyewe, anikamtafutia kazi alikuwa akilipwa mshahara chini ya laki 1,...nikaendelea kumpa maisha ,akaota mapembe... hajanizidi kwa chochote financially
Ila alikuja kuzidi mahali ndio maana ndio ikawashinda kwa uzoefu wangu wanaume wanaoendelezewa kielimu au kibiashara ndoa zao hufa, a moment mke akipata kazi au hela humuona mume si chochote
 
Si ndiyo hapo sasa mimi hili nitapinga miaka buku! Haiwezekani mume na mke wasaidiane kulipa bills!

Then linapokuja suala la kazi za nyumbani wote mnaenda kazini asubuhi mnarudi usiku mmechoka! Ila mkirudi mke ndiyo apike aoshe vyombo na bado afue na afanye usafi mume kumsaidia hataki na mkiweka housegirl lawama duuh!
Tena housegirl hapo ndo mtihani maradufu..ataambiwa anajua ratiba ya baba kuliko mke mtu
 
mjomba alikua akifikiria dinner meeting za kila siku anaona kabisa mama huko alikokua wakurugwa wameshamkula wife
Yes haswa wivu, ni chanzo bana, anyway wangevumiliana tu maana hata huyu mwanaume mkorofi kwanini upige mke, nadhani huyu mwanaume alishindwa kusoma saikolojia ya mkewe huko kumpiga piga ndio kulimfanya awe jeuri na aanze kuwa busy na kazi na hata kuchepuka na mwishowe ndoa kuwa Chali.
 
Back
Top Bottom