al-baajun
JF-Expert Member
- Sep 11, 2015
- 278
- 203
- Thread starter
- #21
Hhapo kwenyewe nusu ya show itabidi nisimamie Mimi.Kama wana maokoto shazi wapeleke kilimanjaro tinted camp. Vivutio watapata muongozo hapo
Shukran sana!OK, kwanza nikupe ushauri kama mtu ninayewajuwa wazungu vizuri wa type zote kwenye utalii.
Kwanza wanafunzi wote hawana pesa kwahiyo nitakupa location za kuwafaa lakini wataenjoy.
Ukiwa Moshi town chukuwa Bajaj hata mbili waambie wawapeleke sehemu inaitwa KILIMAKYARO IPO juu kule kupita kcmc, hapo kuna natural forest, lodge, garden, swimming pool, restaurant na bar kwa bei affordable.
Chukuweni room hapo mkipenda au chukuweni bungalow, usiku shukeni sasa Moshi town nendeni club Alberto mkale disco la nguvu na kuexperince Moshi town at night inakuwaje na usiwabanie hao wageni kama ni mademu wakimzimia mtu ni mambo ya contact wawasiliane next day.