Wakuu, mke wangu nimemchoka

Wakuu, mke wangu nimemchoka

i did it more than once..yaani kila mara nakaa nae chini mkuu..yaani mungu ananiona..ni zaidi ya mara 30 ninamsihi nijue nini shida..na anajibu hamna shida yyte anaomba msamaha napotezea...muda kidgo tu anarudia hayo hayo..Ana mengi mno mkuu..Kusalimia mtihani..mumewe nikiumwa sioni hata hamu ya kunitkia uzima mumewe..ndo kwnz anafnya mambo yake....yaani dah ana mengi sn..nmeanzisha uzi nianglie mawazo yenu
Pole sana bado naamini kuna mazingira ukiyaandaa atakuambia nini kinamsumbua, ikiwa ni tatizo la kiroho napo utajua. Wakati mwingine inaweza kutoa kutojitambua anachofanya kwa kukamatwa ufahamu wake na ulimwengu mwingine.
 
Kila siku tunawaambia hamuelewi. Mnajifanya wabishi huku mnalia na mmejaa maumivu moyoni.

Kataa Utumwa

Kataa Unyonyaji

Kataa Ujambazi

Tokomeza Ndoa

Pinga Ndoa

Kataa Ndoa
Windhoek Namibia [emoji28][emoji28]
 
Tatizo upo mkoani. Unahadithia vitu usivyojijua.
Njoo huku mjini, alafu uwe na UHAKIKA utakayoonyeshwa ni Mzaramo na sio manka aliyelowea Dar.

I know my sisters...ndio maana Madera yanawapendeza!
Bwana weee, UZaramoni hamna madako, labda Kama hujatembea....hebu sogea hapo Shinyanga pitia Nzega .....kuna watu wanajambia mbali nyie🤣🤣🤣
 
Hahha na wengi ndo hivo Vimeo hatar ndio maan sinampango huo nikiona umri wa kukaribia kufa ndio nitingia Ili tusisumbiane sana tunakufa 😂😂😂
Wanawake wengi wanafeli kwenye sector ya relationship ndoa ni matokeo pale mtakapoanza kutumia akili badala hisia ndipo ndoa zenu zitakuwa nzuri
 
Mmh anakupenda sana na kukuheshimu ila hamna sex,,sasa sawa wewe unachepuka uko nje na yeye akiwa na hamu anamalizia wapi??
Sijawahi kuchepuka mkuu..na kwa upande wke sjui anazimalizia wapi..mby zaidi hata a bit of jealousy kwangu kua ninamalzia wapi hamu zng..hana kbsa wivu huo.
 
1. Mkeo ana tabia za kitoto, either ni last born au kwao amedekezwa sana, mvivu na hajui majukum yake.

2. Wew bado mvulana, umeshindwa kumnyoosha mkeo so anakuchukulia poa, hakuheshimu. Ongea kiume, huku sura ya kiume inaonekana, mwambie nin hutak na asipofuata aondoke.

3. Kuna ex wake waliachana kwaajili yako, so anampa kiburi

4. Umempata na kumuoa kwa kumbembeleza sana na kumnyenyekea nyenyekea hadi ukatoa machozi, so anakuendesha km punda ili ukome.

5. Mlioana kwa presha ya watu wa nje, either wazazi au kitu kingine, so mmekuja kuisha pamoja ile presha haipo na inabid mjenge upendo pamoja na imekuwa ngumu

6. Ni demu wa kupiga na kuacha wew ukaoa, so umejichanganya, vyuma vimeumana

Anyway, kula chuma hicho mkuu
Noted mkuu..MULE MULE..ila kupitia nyuzi hizi niemejifunz kitu..nimemlea lea sana..maana zaidi ya misamaha 30 nimemsamehe na sikuwah kumpa onyp hata 1 la kurudi kwao..last time nimeripoti kwa wakwe makosa ya mtoto wao..wakaniona mimi nawatukana.Kwa sasa naamua maamuzi yangu kuyafanya mwenyewe bila kuwashirkisha.
 
Usifanye haraka mkuu! Mke wako Ana moja ya matatizo haya!
1: Ana jini mahaba( Tabia zote ulizozitaja jini mahaba akimwingia mwanamke lazima huyo mwanamke awe nazo) sio yeye mbali Ni Yule jini mahaba anamfanya hivyo, yeye mwenyewe hapendi Ila anajikuta anafanya hivyo, majini mahaba yameachisha ndoa nyingi sana mkuu, Kama unampenda usifanye haraka kumuacha ( dawa yake mpeleke kwenye kanisa la kiroho akaombewe, angalizo hapa usimpeleke kwa manqbii na mitume! Tafuta kanisa (TAG, full gospel, EAGT, FPCT,) atabadilika atakuwa mke mwema

2: mke atakuwa hakupendi, Kuna kitu alikupendea aidha pesa, Elimu, umaarufu, au Dawa, au kwa sababu ya kuolewa! Hapa yawezekana Hana mtu nje lakini ukweli hakupendi anaona Kama alikosea! Hili Ni tatizo linahitaji uvumilivu huku akiendelea kufundwa! Lakini pia mke wako unatakiwa uwe kichwa inaonekanq anakutawala! Haiwezekani Toka umuoe mmefqnya mapenzi Mara tano! Hiyo Mara tano wenzako Ni kwa wiki kwa ndoa ambayo Ina virutubisho vyote, maanake kwenye ndoa yako umeshindwa mahali kusimama Kama mme!! Mwanamke unatakiwa wiki zile za Kwanza za ndoa umuonyeshe wewe Ni Nani?unasex Mara ngapi kwa siku, wiki, mwezi! Unarudi saa ngapi, lakini ndo muda unapaswa kuwa mkali pia kwenye Mambo Kama Safari za kusalmia, kukaa kwa majirani, makundi, matumizi ya simu , mapishi, kupokea wageni nk! Ukifanikiwa kwenye miezi 3 ya mwanzo kumudhibiti kwenye maeneo hayo!! Lazima ataishi malengo yako, muongozo wako, nk! Maanake eneo hili mkuu ulizembea mno! Dawa yake Sasa Wala sio kumuacha! Kaa naye mwambie madhaifu yake yote akiishakubqli na kuomba msamaha! Hebu yafanye kipindi mwambie Sheria zako, zote likiwemo Hilo la mapenzi, kuwa atake asitake mtakuwa mnafanya mapenzi kwa wiki Mara Tano!! Hataki na wewe huna haja na msamaha wake( akiishakubqli wewe Sasa jiongeze sio lazima ufanye kweli Mara tano kwa wiki, unaweza fanya Mara mbili wiki nyingine Mara tatu, wiki nyingine Mara nne, wiki nyingine hata Mara sita)simama Kama mwanaume mkuu!! Ishi na mwanamke kwa akili, dawa sio kumuacha Kama kweli unampenda! Vinginevyo Kama unatafuta kifo!! Ninayo mengi mkuuu Ila kwa wengine ambao tunauzoefu na ndoa, fanyiq kazi hayo!! Kama una maswali ziada karibu inbox!
asante sn mkuu.
 
Habari wakuu, mke wangu toka nimuoe sina chochote nachostahili kufanyiwa kama mume.

Heshima 0
Tabia 0
Kununa nuna A+

Kusex mpaka nianze mimi, nisipoanza ngoma 0-0 na since nioe mwezi wa 8 mwaka jana sijasex nae zaidi ya mara 5 na zote naanza mimi kudai penzi though no Mutual Connection.

Mke meseji ninamtumia saa 1 asubuhi kujibiwa saa 10 jioni. Since day 1 ya ndoa yangu sijapata raha yoyote ile zaidi ya karaha tu. Leo nimeamua kumtolea uvivu.

WAKUU TUSIKURUPUKE KUOA.

Ilikuaje ukamuoa?
 
Mzaramo?. Pole!!
Ukioa mzaramo jua umeoa kundi la wanawake sio mke . Ni katika wanawake ambao hawasimami peke yao kimaamuzi hadi wawashirikishe shangazi zao dada zao n.k.
Wapo kama taasisi tu hakuna maamuzi ya mtu mmoja , hapo hupe unyumba ukute pini kapiga shangazi mtu.
nimeshaambiwa sana hayo maneno niliyapuuza..hlf na mama mkwe kwa waganga anaongoza kwenda..na huwa anamuombaga sana wife aende nae ktk dua..huwa ananiagaga wanaenda kwa Ostadh!!aisee..
 
Back
Top Bottom