Wakuu, mke wangu nimemchoka

Wakuu, mke wangu nimemchoka

Unampa sana attention.

Punguza attention mzee.

Wanawake ukiwapa sana attention huwa wanaanza kuringa.

We malizia mishe zako huko nje kula, mzigo, na mengineyo ukija home pitiliza chumbani kalale.

Wala usijihangaishe nae.

Kausha kimya acha Hela ya kula nenda kapige mitikasi Yako mbona atarudi mwenyewe na mahaba tele.

Inatakiwa ujue kuwa Wanawake hawana akili Wala shukrani.
Kama Mama yako alivyokosa akili na shukran
 
🤣🤣🤣 sisi kataa ndoa tumeliona hilo ndio maana hatutaki kufika huko ni hit and run
Zina mwisho hizo, utakutana na kishazi king'ang'anizi utajikuta tu umeoa, hata umeoaje hujui🤣🤣
Akili inakurudia unasikia "we mume wangu mchele umeisha" unamtafuta huyo mume pande zote, kumbe mume ndo wewe🤣🤣🤣
 
Nimekutana na changamoto kama hizo nimezikwepa af wengi wanakwambia babe sasa utanioa lini mkiwa kunako 6×6 anakupea utelezi 😅😅😅
 
Zina mwisho hizo, utakutan0a na kishazi king'ang'anizi utajikuta tu u00meoa, hata umeoaje hujui🤣🤣
Akili inakurudia unasikia "we mume wangu mchele umeisha" unamtafuta huyo mume pande zote, kumbe mume ndo wewe🤣🤣🤣
[/QUO
😳😳😳
 
🤣🤣🤣🤣 Shida ya ndoa hamvurugani siku zote, Yani msimu wa raha ukianza, wale wasio na ndoa sijui unawaonajee, Kama wauawe hivi Kwa kupoteza muda wao duniani 🤣🤣🤣🤣
Vikianza kuumana sasa🤣🤣🤣
😂😂Nimecheka
Nimekumbuka rafikyang aliolewa mapema mm nilikuwa naendelea na shule huo ushauri Sasa 😀 olewa bhana kwanin hutaki ndoatamu wew,nikamcheck miak 3 badae vikaumana 😂😂😂😂 nikamuuliza unaniambiaje ndugu mshauri akasema subir kwanza na rohoyako hiyo utakufa mapema😂😂😂😂
 
Huyo ndio rafiki wa kweli. Yaani siku hizi ukiingia kwenye ndoa umeingia kwenye matatizo. Sasa ni juu ya mtu mwenyewe kukubali matatizo au kukataa ndoa
 
Mambo ni yaleyale tu Kwa waislamu sogea tuishi ni suala gumu japo wapo
Ukipata mtu sahihi Wala hakunashida
Tatizo hata upate mtu sahihi changamoto ziko palepale. Halafu wanawake wengi hubadilika baada ya kuolewa hasa wakishapata cheti cha ndoa. Ndio ile kauli ya TULIOANA huanza sasa mwanzoni alikuwa anakulilia UMUOE
 
Huyo ndio rafiki wa kweli. Yaani siku hizi ukiingia kwenye ndoa umeingia kwenye matatizo. Sasa ni juu ya mtu mwenyewe kukubali matatizo au kukataa ndoa
Mm nashukuru Mungu rafikizangu hawajawahi nificha kwakweli wananipa makavu tu nikiamua nijue kabisa yakiw kheri yakiwa mabaya nisiseme sikuambiwa lakn mm nitakuwa na ndoa Bora kuliko wote naamini 😍na yakinishinda narudi kwetu kupumzika habar za kufia ndoan hapana😂😂
 
Mm nashukuru Mungu rafikizangu hawajawahi nificha kwakweli wananipa makavu tu nikiamua nijue kabisa yakiw kheri yakiwa mabaya nisiseme sikuambiwa lakn mm nitakuwa na ndoa Bora kuliko wote naamini 😍
Wee mwana weeeee, unaweza kuwa Bora afu ukakutana na kimeo hata huo ubora wako usiwe na pa kuuonesha...
Mie dada yako nakushauri ukiingia kwenye ndoa jizime data, ndoa haihitaji matumizi ya akili kabisaaaa, ukiwa boya, bwege ndoa itadumu ushangae🤣🤣🤣🤣
Sasa jifanye mtu wa logic🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom