The Butcher
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 348
- 495
GG kwanini unachat na mke wako saa 4 usiku? We upo Bar au?
Una uhakika yupo kwa baba yake bro? Yaani mkeo umeoa Na anaenda kwa baba yake? Kufanya nn wakat kaolewa?Hapana yy ypo kwa baba ake..mie niko ghetto
Mwanamke akijua we ni Boya anakutumia kwel kweli.. ebu muonyeshe vitendo huyo kuwa unaweza ukawa imara asipokuepo.
Fanya utafiti kama kweli anaenda kwa baba. Halagu test reaction yake Mara moja kataa asiende . Cheki reaction yake tu.
Mara ingine akisema anaondoka muache aende na usimtafuteeee mpaka atakaporudi mwenyewe nyumbani. Yaani usijihangaishe nae kabisa.
Na akija hakikisha ushatomba nje huko na hamu zako umezimaliza. Tulia enjoy upepo. Piga matukio tu na usijielezw kwann unafanya hivyo.