Usifanye haraka mkuu! Mke wako Ana moja ya matatizo haya!
1: Ana jini mahaba( Tabia zote ulizozitaja jini mahaba akimwingia mwanamke lazima huyo mwanamke awe nazo) sio yeye mbali Ni Yule jini mahaba anamfanya hivyo, yeye mwenyewe hapendi Ila anajikuta anafanya hivyo, majini mahaba yameachisha ndoa nyingi sana mkuu, Kama unampenda usifanye haraka kumuacha ( dawa yake mpeleke kwenye kanisa la kiroho akaombewe, angalizo hapa usimpeleke kwa manqbii na mitume! Tafuta kanisa (TAG, full gospel, EAGT, FPCT,) atabadilika atakuwa mke mwema
2: mke atakuwa hakupendi, Kuna kitu alikupendea aidha pesa, Elimu, umaarufu, au Dawa, au kwa sababu ya kuolewa! Hapa yawezekana Hana mtu nje lakini ukweli hakupendi anaona Kama alikosea! Hili Ni tatizo linahitaji uvumilivu huku akiendelea kufundwa! Lakini pia mke wako unatakiwa uwe kichwa inaonekanq anakutawala! Haiwezekani Toka umuoe mmefqnya mapenzi Mara tano! Hiyo Mara tano wenzako Ni kwa wiki kwa ndoa ambayo Ina virutubisho vyote, maanake kwenye ndoa yako umeshindwa mahali kusimama Kama mme!! Mwanamke unatakiwa wiki zile za Kwanza za ndoa umuonyeshe wewe Ni Nani?unasex Mara ngapi kwa siku, wiki, mwezi! Unarudi saa ngapi, lakini ndo muda unapaswa kuwa mkali pia kwenye Mambo Kama Safari za kusalmia, kukaa kwa majirani, makundi, matumizi ya simu , mapishi, kupokea wageni nk! Ukifanikiwa kwenye miezi 3 ya mwanzo kumudhibiti kwenye maeneo hayo!! Lazima ataishi malengo yako, muongozo wako, nk! Maanake eneo hili mkuu ulizembea mno! Dawa yake Sasa Wala sio kumuacha! Kaa naye mwambie madhaifu yake yote akiishakubqli na kuomba msamaha! Hebu yafanye kipindi mwambie Sheria zako, zote likiwemo Hilo la mapenzi, kuwa atake asitake mtakuwa mnafanya mapenzi kwa wiki Mara Tano!! Hataki na wewe huna haja na msamaha wake( akiishakubqli wewe Sasa jiongeze sio lazima ufanye kweli Mara tano kwa wiki, unaweza fanya Mara mbili wiki nyingine Mara tatu, wiki nyingine Mara nne, wiki nyingine hata Mara sita)simama Kama mwanaume mkuu!! Ishi na mwanamke kwa akili, dawa sio kumuacha Kama kweli unampenda! Vinginevyo Kama unatafuta kifo!! Ninayo mengi mkuuu Ila kwa wengine ambao tunauzoefu na ndoa, fanyiq kazi hayo!! Kama una maswali ziada karibu inbox!