Wakuu, mke wangu nimemchoka

Mkuu inafikia hatua tuko chumbani yeye kununa tu.. nisipoanza mimi kuongea yeye atakaa zake kimya tu..aisee arrgh hapana kwa kweli
Umeoa demu wa mwenzio rudisha huyo demu sokoni akadange apate mwanaune wa kumfurahia.Huyo anajutia kuwa na wewe ila wewe unafurahia kuwa na yeye na sababu hata wewe mwenyewe unaijua(income level yako).
Hawa kenge hawana huruma na mwanamme mwenye kipato cha chini.Trust me
 
Nanukuu,

"Tano, hujatuambia km mna mtoto au la ili tujue tukushauri vipi. Km hamna mtoto Kuna shida hapo. Yani ulale na mwanamke mara tano akiwa bado mbichi akose mimba?"

Mkuu ki sayansi ni muda wa Mwaka mmoja miezi kumi na mbili ukifanya unprotected sex NDIO mnaweza Anza kuhisi Tatizo la Ugumba......
Ha ha ha ha ukiacha kisayansi kikawaida tu ukifungiwa ndani na Binti akiwa siku hatarishi ni sekunde tu. Mimi nilidhani huyo kijana alikuwa analala naye for leasure not for reproduction. Unajua ukioa mara nyingi mwanaume huwa na target ya kupata mtoto mapema. Sasa km MKE anampa penzi kwa manati shida hiyo.
 
Kwanini ivyo sasa tangu 2016 hadi leo 2023??
Ilitokea tu. Kuna member mmoja kasema si muachane. Ndugu yangu ukiingia kwenye ndoa kwa kufuata sex ndo utamwacha mwanamke kwa sababu kakunyima sex. Ila kama umeingia kwenye ndoa kwenda kuabzisha familia, sex ni sehemu ndogo sana kwenye ndoa sababu ukitaka unaezapata popote mda wowowte. So mke wangu ananiheshim, ananipenda sana thats why hilo sio tatizo kwangu
 
Mmh anakupenda sana na kukuheshimu ila hamna sex,,sasa sawa wewe unachepuka uko nje na yeye akiwa na hamu anamalizia wapi??
 
Habari wakuu, mke wangu toka nimuoe sina chochote nachostahili kufanyiwa kama mume.

Heshima 0
Tabia 0
Kununa nuna A+

Kusex mpaka nianze mimi, nisipoanza ngoma 0-0 na since nioe mwezi wa 8 mwaka jana sijasex nae zaidi ya mara 5 na zote naanza mimi kudai penzi though no Mutual Connection.

Mke meseji ninamtumia saa 1 asubuhi kujibiwa saa 10 jioni. Since day 1 ya ndoa yangu sijapata raha yoyote ile zaidi ya karaha tu. Leo nimeamua kumtolea uvivu.

WAKUU TUSIKURUPUKE KUOA.

Mkuu mkalishe chini, mwekeleze. Kwenye Ndoa ni kuvumiliana. Mfano mimi niko kwenye ndoa mwaka mmoja hadi sasa.

Hakuna binadamu ambaye ni mkamilifu. Yawezekana uliye naye ni bora kuliko ambaye utaoa baada ya kuachana na wife wako.

Pia siri za ndani hazipaswi kuvujishwa nje kwa gharama yoyote.

Mvumilie mkeo hata kama ana changamoto 100.
 
Huyo mkeo hata huwezi mfanya kiburudisho mtimue, timua kabisa

Back
Top Bottom