Ndio unatakiwa umsome vizuri kwanza mwanaume wako kwa kuangalia weakness na strength zake hapa nazungumzia kwenye mahusiano kwanza alafu pima baada ya hapo jipime wewe ninaweza kuendana nae? Ndipo itakuwa mwanya wakujua je ananifaa kwenye ndoa? Sasa wanawake wengi wao ndio wanaitaka ndoa kuliko mwanaume wanaongozwa na hisia na kukimbizana na muda badala ya akili.Kumbe eeh
Unatakiwa ujipe muda wakumuangalia mpenzi kwa kuangalia vitu vya msingi kama mwanaume anavyo je ana sifa ya kuwa baba Bora ila nyie mnakimbilia ndoa ni Bora hata uchelewe kuolewa lakini upate mtu sahihi utakayeingia nae kwenye ndoa