kingkimwe
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 1,959
- 2,618
Tusolve kwañza tatizo la mwamba..![]()
Hakuna cha kusolve apo mkuu waachane tu


Tusolve kwañza tatizo la mwamba..![]()


Baada ya miezi mitatu mikausho mikali?ukafanyaje.
Mi nahisi kama ulikosea mzee. Ila haujachelewa. Fanya hivi:Hapana yy ypo kwa baba ake..mie niko ghetto
Yah Mkuu..toka september mpk leo sijaona pochi nyoya..na yupo sawa kbsa wala hajali lolote kuhsu mimi..na inachosha mkuu kuwa mimi tu ndo nammisi yeye
Jioni ukipiga kimoja asubuhi kimoja mara mbili tayariAta tusio oa tunazidi mara 5 kwa mwezi.
i did it more than once..yaani kila mara nakaa nae chini mkuu..yaani mungu ananiona..ni zaidi ya mara 30 ninamsihi nijue nini shida..na anajibu hamna shida yyte anaomba msamaha napotezea...muda kidgo tu anarudia hayo hayo..Ana mengi mno mkuu..Kusalimia mtihani..mumewe nikiumwa sioni hata hamu ya kunitkia uzima mumewe..ndo kwnz anafnya mambo yake....yaani dah ana mengi sn..nmeanzisha uzi nianglie mawazo yenuKaa chini na mke wako myajenge, utajua mengi.
SAWA MKUU NITAFANYA HIVYO..AISEE..SIJUI WENZANGU WAKE WANAOWATENGEA MPK MAJI YA KUOGA WANAWATOA WAPI!!Dalili ya penzi pa upande mmoja. Yeye moyo wake uko kwingine. Sasa ili umuwezee. Mpe ruhusa ya kuondoka, mwambie live uhitaji kuishi na mtu anae lazimishwa
Duh makabila ya Pwani na ya Kusini sio ya kuoa kama wewe ni mtu wa bara, hapo umekosea maana ni tabia zao na Utamaduni wao.Zaramo..Na nishajaribu kuresolve kwa kureport kwa mshenga na wazazi pia ila bado yupo vle vle tu..Mwishowe nikaambiwa nimewatukana wazazi wake..Sasa nataka nifanye maamuzi bila kuripoti.
ulichokosea wew ni kumwandikia kwenye message matatizo yako,kwa nini usisubiri urudi home ukae nae chini uongee nae face to face?,Kila mahusiano yanachangamoto zake sio tu ndoa hata uchumba pia una hekaheka zake..be smart!kaa nae chini mzungumze ukute hata anamatatizo au haja zoea mazingira ya ndoa …usikurupuke tafuta njia ya kusolve tatizo sio kulikimbia.ndo naendelea nae hapa..mkuu ndoa yng ina vipengele mno..Mungu ndiye ajuae..mpk nashare nanyi ujue imenishinda.
Mkuu na mbaya zaid ruhusa zenyew akishatoka tu ndo anakuaga..anyway ngoja niufnyie kaz ushaur wko ila hana nafasi kbs moyoni aisee!!sjui mzarmo w wpo uyuMi nahisi kama ulikosea mzee. Ila haujachelewa. Fanya hivi:
1. Kama umepanga, fanya mchakato siku akienda kwa ndugu zake we HAMA kimya kimya na usimuambie mtu ulipohamia.
2. Akija akute haupo. Akikuuliza kwea simu mwambie umerudi kwa wazazi wako au ndugu yako au rafiki yako.
3. Akija kazini kwako (naamini anapajua), mchenge ila kwako usimpeleke. Hadi ahisi unaishi na mwanamke mwingine.
Hyu Uso wa mbuzi mkuu..nshaleta vizawad sana ..ila asante unaziona ktk meseji..akupe asante ya mdomo jua litashuka.Noma sana huwa wana vitabia vya kunyima ila that's too much. Hebu mpelekee vizawadi kama handbag hivi halafu mzigo usiombe unaanzisha tu ligi...akidindisha kazi ipo.
Both Teams To Score GGGG kwanini unachat na mke wako saa 4 usiku? We upo Bar au?
Sasa aliolewa ya nini kwanza ndoa changa ilitakiwa bado awe na hamuHyu Uso wa mbuzi mkuu..nshaleta vizawad sana ..ila asante unaziona ktk meseji..akupe asante ya mdomo jua litashuka.
mkuu kuandika kote hujanielewa bdo..yaan nshakaa nae chini mara zaidi ya 30..leo imetokea tu kanitext saa 4 usiku maana nilimtext asubuhi hakunijibu ndo kanitmia sms usiku..ndo nikamuanzishia.ulichokosea wew ni kumwandikia kwenye message matatizo yako,kwa nini usisubiri urudi home ukae nae chini uongee nae face to face?,Kila mahusiano yanachangamoto zake sio tu ndoa hata uchumba pia una hekaheka zake..be smart!kaa nae chini mzungumze ukute hata anamatatizo au haja zoea mazingira ya ndoa …usikurupuke tafuta njia ya kusolve tatizo sio kulikimbia.
Soon ntafanya hivyo mkuu.Duh makabila ya Pwani na ya Kusini sio ya kuoa kama wewe ni mtu wa bara, hapo umekosea maana ni tabia zao na Utamaduni wao.
Mrudishe nyumbani mkuu.