Unawajua Wazaramo? AU unazungumzia wac.hag* wanaosema wao ni Wazaramo?Uliona wapi mzaramo mwenye tako🤣? Wazaramo ni wachina walipchangamka
Ndio nini sasa hiki kama wamenunianaKwanini mnajibizana kwenye simu? Wanandoa mnashindwa kukaa chini mkaongea? Mnaogopana?
Huo ni upwiru,
Tafuta siku ushinde nyumbani we na mkeo tu mpike mle kisha zagamuaneni kisawasawa baada ya ulete mrejesho
😀😀Umepata sababu wew mwanachama hai 😂Si umeona ndoa ya mwanetu huyo 😅
Hata mimi nashangaa sana kwa kweli....Kwanini mnajibizana kwenye simu? Wanandoa mnashindwa kukaa chini mkaongea? Mnaogopana?
Huo ni upwiru,
Tafuta siku ushinde nyumbani we na mkeo tu mpike mle kisha zagamuaneni kisawasawa baada ya ulete mrejesho
Oya jombaa huyo mwanamke inaonekana mlimlazimisha ndoa. Yani aliolewa kwa kushinikizwa pasi na yeye kuridhia.
Au inawezekana aliridhia kuolewa na wewe ili amkomoe Ex wake wa zamani. Huku akiamini atakupenda wewe na utampa mapenzi zaidi ya aliyokua anayapata kwa bwana ake wa zamani.
Sasa kilichomkuta ni tofauti. Bado akili yake ipo kwa mpenzi wake wa kitambo na inawezekana jamaa kuna vitu amekuzidi. Binti kila akijaribu kumsahau inashindikana. Hiyo inapelekea kila akikuona anaona kero tu.
Inshort umeoa mke wa mtu bro na jamaa mda wowote akitaka kumgegeda mkeo anamla bila kipingamizi. Hizo ndio aina ya zile pisi ambazo unakuta umeshaachana nae kitambo na ameshaolewa zake huko lakini ukiipigia simu moja tu chupi yake imeloa miksa kumkandia mme wake huku akibembeleza muhuni umgegede.
Siku hizi wanawake wanapenda ndoa cha ajabu wanaingia katika ndoa wakiwa na wanaume wa ndoto zao kichwani. Sasa hua ni bahati pale ambapo mwanaume wa ndoto zake ni wewe ikiwa tofauti ni majanga na mateso matupu kama unayoyapitia wewe.
Wamenuniana wao vikojoleo vyao vinahusikaje 😕Ndio nini sasa hiki kama wamenuniana
Sawa mkuumkuu nakuheshimu mno..tusifikie huko..Allah akusamehe..namie nimekusamehe pia
Kaka nlikuwa nakutafuta... hivi una connectio yoyote ya mwalimu kuhama kituo? Mke wangu wemempangia kazi mwisho wa dunia.. na mimi nataka nimlete mujini ninapoishi... ni PM tuyajengeOya unabet sana ndoshida, ilo jina lako nimekuvulia kofia [emoji23][emoji23][emoji23]
Sina experience ya ndoa, zaidi ya kuishi na mtu ndani zile pika pakua vaa na vua japo ni zama za giza kidogo, hivyo ushauri wangu unaweza usiwe relevant
Ila yote kwa yote, naona kuna umuhimu wa kuishi na mtu japo kidogo wakati bado unajitafuta kumuoa ili kumsoma na kukata shauri kama unajilipua au la
Nioneshe mzaramo mwenye tako uchukue ef 10 chapUnawajua Wazaramo? AU unazungumzia wac.hag* wanaosema wao ni Wazaramo?
Mkuu aliniaga anaenda kwa baba ake kusalimia..kila siku kusalimia tu..mie namkubalia tu..na ndo maana tunachat sbb yupo kwa baba ake..tushakaa chini mkuu zaidi ya mara 30..ndo kwnz tabia inazidi kuwa mbaya tu..
[/QUOTEBraza hapo na wewe unakosea...mda wote huo na mnaishi nyumba moja? Hapana aiseeYah Mkuu..toka september mpk leo sijaona pochi nyoya..na yupo sawa kbsa wala hajali lolote kuhsu mimi..na inachosha mkuu kuwa mimi tu ndo nammisi yeye
Mhindi anakuchanganya kwenye mikeka na mke tena?Habari wakuu, mke wangu toka nimuoe sina chochote nachostahili kufanyiwa kama mume.
Heshima 0
Tabia 0
Kununa nuna A+
Kusex mpaka nianze mimi, nisipoanza ngoma 0-0 na since nioe mwezi wa 8 mwaka jana sijasex nae zaidi ya mara 5 na zote naanza mimi kudai penzi though no Mutual Connection.
Mke meseji ninamtumia saa 1 asubuhi kujibiwa saa 10 jioni. Since day 1 ya ndoa yangu sijapata raha yoyote ile zaidi ya karaha tu. Leo nimeamua kumtolea uvivu.
WAKUU TUSIKURUPUKE KUOA.
Mzaramo?. Pole!!Zaramo..Na nishajaribu kuresolve kwa kureport kwa mshenga na wazazi pia ila bado yupo vle vle tu..Mwishowe nikaambiwa nimewatukana wazazi wake..Sasa nataka nifanye maamuzi bila kuripoti.
Tunaposema ndoa ni utapeli ndio mtuelewe sasa.😀😀Umepata sababu wew mwanachama hai 😂