Wakuu, mke wangu nimemchoka

Wakuu, mke wangu nimemchoka

Habari wakuu.. mke wngu toka nimuoe sina chochote nachostahili kufanyiwa kama mume..

Heshima 0
Tabia 0
Kununa nuna A+

Kusex mpaka nianze mimi, nisipoanza ngoma 0-0 na since nioe mwezi wa 8 mwaka jana sijasex nae zaidi ya mara 5 na zote naanza mimi kudai penzi though No Mutual Connection..

Mke meseji ninamtumia saa1 asubuhi kujibiwa saa10 jioni. Since Day 1 ya ndoa yangu..sijapata Raha yoyote ile zaidi ya karaha tu.. Leo nimeamua kumtolea uvivu.. WAKUU TUSIKURUPUKE KUOA.

Umeoa au mmeoana?
 
Mkuu aliniaga anaenda kwa baba ake kusalimia..kila siku kusalimia tu..mie namkubalia tu..na ndo maana tunachat sbb yupo kwa baba ake..tushakaa chini mkuu zaidi ya mara 30..ndo kwnz tabia inazidi kuwa mbaya tu..
Mkuu pole sana huyo kuna mhuni anampa penzi na inavyoonekana ndiye anaempa formula ya namna ya kukusumbua nakushauri piga chini urefushe maisha yako au uendelee nae ili uwahi kwa muumba chaguo ni lako.gudluck boy
 
Zaramo..Na nishajaribu kuresolve kwa kureport kwa mshenga na wazazi pia ila bado yupo vle vle tu..Mwishowe nikaambiwa nimewatukana wazazi wake..Sasa nataka nifanye maamuzi bila kuripoti.
Asee, me nakuunga mkono, sina tofauti na wewe, nilishaona kwa style hii hakuna balance, kama kila jambo lazima nianze mimi, manake ni utumwa wa ndoa, thanks God sikufunga ndoa, sasa nimeamua hivi:
1.nasubiri wanangu waongezeke umri
2.Ama nitaoa tena BAADAE, au sitaoa kabisa
NB:Najua madhara ya kuachana katika malezi ndo nimeamua sasa, no way

Sent from my LDN-L21 using JamiiForums mobile app
 
ktk ndoa yng toka nimuoe mwezi wa 8..last time nmemuomba mbususu mwezi wa 9 mwanzoni..tena hyo ni mara ya 5..hakuonyesha kukubali..na aliponipa sikuona ushrkiano wwte..kama hakupenda vile..na mby zaid Jeuri mno..
I can feel what you are going through, mimi mmoja wao, sasa Nishachagua kujipa furaha mwenyewe, Wanaume huruma huwa zinatuponza sana, anyway,

"maisha yenyewe mafupi haya"
If your wife can't change, change a wife"

Sent from my LDN-L21 using JamiiForums mobile app
 
Habari wakuu.. mke wngu toka nimuoe sina chochote nachostahili kufanyiwa kama mume..

Heshima 0
Tabia 0
Kununa nuna A+

Kusex mpaka nianze mimi, nisipoanza ngoma 0-0 na since nioe mwezi wa 8 mwaka jana sijasex nae zaidi ya mara 5 na zote naanza mimi kudai penzi though No Mutual Connection..

Mke meseji ninamtumia saa1 asubuhi kujibiwa saa10 jioni. Since Day 1 ya ndoa yangu..sijapata Raha yoyote ile zaidi ya karaha tu.. Leo nimeamua kumtolea uvivu.. WAKUU TUSIKURUPUKE KUOA.

Mtafutie mke wa pili

Sent from my Infinix X672 using JamiiForums mobile app
 
Kama anatumia njia ya uzazi wa mpango aache hizi huleta tabia hizi

Sent from my Infinix X672 using JamiiForums mobile app
 
Habari wakuu.. mke wngu toka nimuoe sina chochote nachostahili kufanyiwa kama mume..

Heshima 0
Tabia 0
Kununa nuna A+

Kusex mpaka nianze mimi, nisipoanza ngoma 0-0 na since nioe mwezi wa 8 mwaka jana sijasex nae zaidi ya mara 5 na zote naanza mimi kudai penzi though No Mutual Connection..

Mke meseji ninamtumia saa1 asubuhi kujibiwa saa10 jioni. Since Day 1 ya ndoa yangu..sijapata Raha yoyote ile zaidi ya karaha tu.. Leo nimeamua kumtolea uvivu.. WAKUU TUSIKURUPUKE KUOA.

Pole mkuu.
by the way ulioaje oaje?
Uliletewa akiwa kwenye gunia?
au kabla hujaoa alikuwa fresh tu?

Vijana jitahidini kukutana na Wachumba wenu Kimwili kabla hamjawaoa.

Demu akikuambia sex ni hadi muoane huyo achana naye. Anamapungufu ambayo hutaweza kuja kuyavumilia hapo baadae.
 
Habari wakuu.. mke wngu toka nimuoe sina chochote nachostahili kufanyiwa kama mume..

Heshima 0
Tabia 0
Kununa nuna A+

Kusex mpaka nianze mimi, nisipoanza ngoma 0-0 na since nioe mwezi wa 8 mwaka jana sijasex nae zaidi ya mara 5 na zote naanza mimi kudai penzi though No Mutual Connection..

Mke meseji ninamtumia saa1 asubuhi kujibiwa saa10 jioni. Since Day 1 ya ndoa yangu..sijapata Raha yoyote ile zaidi ya karaha tu.. Leo nimeamua kumtolea uvivu.. WAKUU TUSIKURUPUKE KUOA.

Kuna wanawakr huwa wanaolewa kuvuruga maisha ya watu, huyo muache tu, hafai.
 
Kwamba tola Sept hadi leo June hujala kipapa cha mkeo? Sasa anakuwaje mkeo kwa hali hii, amekuja hapo kufanya nini kama mnaishi maisha ya namna hii?

Kisheria kabisa unaweza kumshtaki na ndoa ikavunjwa, ndoa bila kuwekana ni batili, wenzako wiki tu wanaanza kulalamika, japo kuna namna wanawake wanapenda kutubania, ila toka Sept hilo ni tatizo.
 
Habari wakuu.. mke wngu toka nimuoe sina chochote nachostahili kufanyiwa kama mume..

Heshima 0
Tabia 0
Kununa nuna A+

Kusex mpaka nianze mimi, nisipoanza ngoma 0-0 na since nioe mwezi wa 8 mwaka jana sijasex nae zaidi ya mara 5 na zote naanza mimi kudai penzi though No Mutual Connection..

Mke meseji ninamtumia saa1 asubuhi kujibiwa saa10 jioni. Since Day 1 ya ndoa yangu..sijapata Raha yoyote ile zaidi ya karaha tu.. Leo nimeamua kumtolea uvivu.. WAKUU TUSIKURUPUKE KUOA.

Nyie mnapata adi muda kuchat kuanzia saa nne na nusu usiku ... baadoo saana
 
Mkuu jaribu kuweka muda wa kuwa naye karibu, uwe romantic penda kumsifia mara Kwa mara, msifie ni mzuri, akikupa msifie ni mtamu, hakikisha anapokupa unaipiga vzr mashine. Jaribu kumsoma hisia zake zilipo na staili gan anaenjoy. Kuna uwezekano mkubwa umefeli angle hii. Yan mwanamke umpige vzr afu akose hamu na wewe, Mimi siamini. Jaman tunatafuta maisha ili na wake zetu tusiwasahau ni sehem ya maisha yetu.

Unaweza kumtoa out siku moja afu wakati unarud mpitishe sehemu watu wanajiuza. Kama una gari ni vzr zaidi unaweza simamisha wakajaa dirishani, unaweza kuwaulizia hata bei. Mwanamke ataanza kupata alarm kichwani, kumbe kitu anakubania unaweza kukipata kwingine Kwa bei mseleleko

Tafuta demu wa kujipoozea, stress na upwiru vitakuua Mzee.

Imani yangu kwenye tatizo lako upo mchango wako pia, angalia maeneo gan na wewe umechangia na ujaribu kurekebisha, usiangalie upande wa mwenzio tu
 
Back
Top Bottom