Wakuu, mke wangu nimemchoka

Wakuu, mke wangu nimemchoka

Ukitaka kukosa furaha na amani oa. Zaman wazazi wetu walikuwa na ndoa zenye furaha na Amani.
Binafsi simshauri mtu afunge ndoa kwa kujuana miezi kadhaa au Mwaka .
Waishi walau miaka 5 ndoa wafunge ndoa
 
Na tuna mtt 1..sema wakuu ktk kuachana Mtoto atakaa nae yeye?au sheria inatakaje hapo.
Story ya hyo mtoto ndo imetufny tuoane..yaani kabla ya ndoa ktk kufosi mazngr ya kusex..alikua mgumu mgumu sn..siku alipotoa tu mbususu ndo wazungu siku hyo hyo tumepata mtoto...Kiukweli wakuu nimefeli sana..Tabia niliijua lakn niliamini atabadilika tu..
 
Kiukweli ndoa za sasa ni pasua kichwa mno Wanawake wanajisahau sana sijui wapo driven na kitu gani aisee! Ndoa nyingi ni changamoto na zina maudhi ya kutosha anyway Mungu mwenyee asimame nasi
Tatizo ni nyie waoaji mnakurupuka sana. Changamoto zipo lakini wake wazuri pia wapo
 
Habari wakuu, mke wangu toka nimuoe sina chochote nachostahili kufanyiwa kama mume.

Heshima 0
Tabia 0
Kununa nuna A+

Kusex mpaka nianze mimi, nisipoanza ngoma 0-0 na since nioe mwezi wa 8 mwaka jana sijasex nae zaidi ya mara 5 na zote naanza mimi kudai penzi though no Mutual Connection.

Mke meseji ninamtumia saa 1 asubuhi kujibiwa saa 10 jioni. Since day 1 ya ndoa yangu sijapata raha yoyote ile zaidi ya karaha tu. Leo nimeamua kumtolea uvivu.

WAKUU TUSIKURUPUKE KUOA.

Men searching for authority and leadership.
Women searching for security and support.
 
Ukitaka kukosa furaha na amani oa. Zaman wazazi wetu walikuwa na ndoa zenye furaha na Amani.
Binafsi simshauri mtu afunge ndoa kwa kujuana miezi kadhaa au Mwaka .
Waishi walau miaka 5 ndoa wafunge ndoa
True! Hasara yake hapo mnaweza msiwe na mapenzi ile intimacy kubwaaa ila mkawa ni marafiki wakubwa sana na mnaojuana Vizuri na kuelewana, so mkiwa na nyege mnajikuta marafiki mnaotiana….. it works better.
 
Back
Top Bottom