Mrejesho: Mke wangu Kaomba Msamaha Yaishe

exalioth

JF-Expert Member
Jun 22, 2016
2,190
3,685
Kama hukupata chanzo cha uzi huu fatilia

Msaada wa haraka: Mkewangu tumegombana usiku, asubuhi hii anatafuta utalatibu wa talaka tugawane mali

Wakuu kwanza mimi sio mwana kiswahili mzuri kwaio atakaeona nmechanganya herufi ajiongeze mwenyewe nsamehewe kwa hili,

Wakuu uzi wangu huu niliwaomba ushauri ndoa yangu ilikua imeenda kufa kabisa, Mke wangu alitoka ilikua asubuhi akarudi kesho yake alikua kwa dadaake akamshauri migongano kwenye ndoa ni swala la kawaida rudi kwa mmeo ukaombane msamaha rakini hakusikia

Kwahiyo alirudi kwa swala lile lile la talaka alifika jioni akamtuma dogo tunaishi nae aje kazini kwangu kuchukua hela ya mboga nikampatia, jioni nafka nyumbani nakuta kapika afu yupo chumbani kalala naskia dogo anamwambia pakueni chakula mstegemee nawatengea chakula,

Hata mimi nliona utalatibu hauko sawa maana sku nyingne nikifika nyumbani hua ananipelekea maji kuonga rakn nilikaa sebuleni kama dakka 15 naona kimya nikamwambia apeleke maji bafuni nioge akakataa hapeleki maji

Nikafikilia kwamba mkewangu huyu ameenda huko ameshauliwa hajaelewa mimi sitoweza kumshawishi kwa vyovyote nikajua amezamilia kuachana, nkaamua kuchukua ndoo nikaenda kuoga,

Simu yangu niliiacha chumbani makusudi kulikua na meseji tulichati mchana na jamaa mmoja ananishauri nisafiri nikamuone mschana mmoja nikipendezwa nae nimuoe jamaa kashauri siwezi kakaa bila mke na ameshauri atanisaidia kwa hilo

Kumbe nlipoenda kuoga alisoma meseji zote, nilivyotoka kuoga nikapakua chakula nikala

Kwakua nilikua nmesha kula nondo nyingi za ushauri zilinisaidia hasa uzi wa DeePond nilikua nmeupitia skuteteleka nikavaa sura ya uanaume ndani ya nyumba nkamwambia kama Umeamua kuachana basi nipishe ukalale kwenye chumba kingine akaaza kusema ooh nmesoma meseji unataka uoe mwanamke

Nikamwambia sasa ukiondoka naishije bila mke yaani lazma nioe tutakuja kuanza moja na mwanamke nitakae muoa kwakua unashida ya kugawana unahangaika bure mimi sigawani mali yoyote nmeumbwa wanaume nitatafuta nyingine sikuzaliwa na kitu

Nahakikisha kesho ubebe duka lote na vifaa vyote mpaka ufagio hakuna cha kugawana hata kimoja staki ulale chumbani humu haina maana ya kulala pamoja tena nikamwambia apishe nataka kufunga kweli alifanya hivyo akatoka nikafunga mlango

Baada ya dakka kumi napigiwa na kakayake simu ananiambia et nmemfukuza usku mtoto wa kike et atapata matatzo usku mbaya nkamwambia chanzo alivyokata simu badae kama dakika 10 sjui alishauliwa nini na kakayae akaja mlangoni kuniita tena kwa sauti nzuri nmfungulie

Nkamfungulia akaanza kulia ananiomba msamaha anasema kwanini nilitaka kuchukua maamzi ya kutaka kuoa mapema hivyo, mara ooh mmewangu sitorudia nisamehe

Nmeshamsamehe maisha yanaendelea,,,,,

Exalioth_yuda
Jf_geita
 
Usha chemsha subiri sumu kwenye chakura, mbona anadalili za Yale makabila ya malimali kama ni hao mzee njoo inbox
 
Umefeli
Kakaa nje dk 15 tu karudi na umemfungilia, umefeli kijana.
Ilitakiwa arudishwe na ndugu zake tena kwa kikao kisichopungua masaa nane
Mzee kaomba msamaha huku akitembelea mgoti mpaka chumbani
 
Mwanamke hata awe mkorofi vipi akisikia unataka kuoa mwingine akili lazima zimruke.
Wengi huwa wanaelewa umuhimu wa ndoa baada ya kuachwa. KISHA ujiunga kwenye kundi la ufeminist faraja ya tukose wote.
We kama ulichezea ndoa yako KWA upumbavu wako usiwapotoshe wengine.
 
Alikuwa anabeep.

Ila umewahi sana kumsamehe, ilipaswa umpe mateso ya nafsi na shaka ya moyo. Ungepotea kama siku 2 hivi ahisi umeenda kuangalia mchumba. Baada ya kurudi hakuna kula wala kuuoga nyumbani, wewe ni kubadili nguo tu.

Hii yote ni kumdhihirishia kuwa anaweza kuwa replaced na maisha yakaendelea. Baada ya hapo sasa ndio ungemueka chini na kupiga biti kuwa akirudia ujinga wake hutosita kumletea chombo kipya nyumbani.

Hivi viumbe sio vya kuonea huruma. Kila msamaha mmoja anaouomba anapanga tukio lingine kichwani ili uje uombe wewe msamaha elfu 1.
 
Mwanamke hata awe mkorofi vipi akisikia unataka kuoa mwingine akili lazima zimruke.
Wengi huwa wanaelewa umuhimu wa ndoa baada ya kuachwa. KISHA ujiunga kwenye kundi la ufeminist faraja ya tukose wote.
We kama ulichezea ndoa yako KWA upumbavu wako usiwapotoshe wengine.
Kweli nilichezea karata vzur
 
We bado dhaifu mapenzini.

Na kuna dalili mapenzi yatakuja kukusumbua.

Mwanaumae Imara unatakiwa ukaze kweli kweli.

Na wanawake wote wana tabia ya kutest mambo.

Heshima yako haiwezi kuja ukiwa nyoro nyoro dakika 15 tu ushabadili mawazo, au eti kaka mtu anakubadilisha mawazo.
 
Kama hukupata chanzo cha uzi huu fatilia

Msaada wa haraka: Mkewangu tumegombana usiku, asubuhi hii anatafuta utalatibu wa talaka tugawane mali

Wakuu kwanza mimi sio mwana kiswahili mzuri kwaio atakaeona nmechanganya herufi ajiongeze mwenyewe nsamehewe kwa hili,

Wakuu uzi wangu huu niliwaomba ushauri ndoa yangu ilikua imeenda kufa kabisa, Mke wangu alitoka ilikua asubuhi akarudi kesho yake alikua kwa dadaake akamshauri migongano kwenye ndoa ni swala la kawaida rudi kwa mmeo ukaombane msamaha rakini hakusikia

Kwahiyo alirudi kwa swala lile lile la talaka alifika jioni akamtuma dogo tunaishi nae aje kazini kwangu kuchukua hela ya mboga nikampatia, jioni nafka nyumbani nakuta kapika afu yupo chumbani kalala naskia dogo anamwambia pakueni chakula mstegemee nawatengea chakula,

Hata mimi nliona utalatibu hauko sawa maana sku nyingne nikifika nyumbani hua ananipelekea maji kuonga rakn nilikaa sebuleni kama dakka 15 naona kimya nikamwambia apeleke maji bafuni nioge akakataa hapeleki maji

Nikafikilia kwamba mkewangu huyu ameenda huko ameshauliwa hajaelewa mimi sitoweza kumshawishi kwa vyovyote nikajua amezamilia kuachana, nkaamua kuchukua ndoo nikaenda kuoga,

Simu yangu niliiacha chumbani makusudi kulikua na meseji tulichati mchana na jamaa mmoja ananishauri nisafiri nikamuone mschana mmoja nikipendezwa nae nimuoe jamaa kashauri siwezi kakaa bila mke na ameshauri atanisaidia kwa hilo

Kumbe nlipoenda kuoga alisoma meseji zote, nilivyotoka kuoga nikapakua chakula nikala

Kwakua nilikua nmesha kula nondo nyingi za ushauri zilinisaidia hasa uzi wa DeePond nilikua nmeupitia skuteteleka nikavaa sura ya uanaume ndani ya nyumba nkamwambia kama Umeamua kuachana basi nipishe ukalale kwenye chumba kingine akaaza kusema ooh nmesoma meseji unataka uoe mwanamke

Nikamwambia sasa ukiondoka naishije bila mke yaani lazma nioe tutakuja kuanza moja na mwanamke nitakae muoa kwakua unashida ya kugawana unahangaika bure mimi sigawani mali yoyote nmeumbwa wanaume nitatafuta nyingine sikuzaliwa na kitu

Nahakikisha kesho ubebe duka lote na vifaa vyote mpaka ufagio hakuna cha kugawana hata kimoja staki ulale chumbani humu haina maana ya kulala pamoja tena nikamwambia apishe nataka kufunga kweli alifanya hivyo akatoka nikafunga mlango

Baada ya dakka kumi napigiwa na kakayake simu ananiambia et nmemfukuza usku mtoto wa kike et atapata matatzo usku mbaya nkamwambia chanzo alivyokata simu badae kama dakika 10 sjui alishauliwa nini na kakayae akaja mlangoni kuniita tena kwa sauti nzuri nmfungulie

Nkamfungulia akaanza kulia ananiomba msamaha anasema kwanini nilitaka kuchukua maamzi ya kutaka kuoa mapema hivyo, mara ooh mmewangu sitorudia nisamehe

Nmeshamsamehe maisha yanaendelea,,,,,

Exalioth_yuda
Jf_geita

Kwa vyovyote vile, mimi kama Mwenyekiti wa Umoja wa Wanaume Duniani, nakutaka uandike barua ya kujieleza kwani kuna baadhi ya mambo hayako sawa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom