Wakuu, mke wangu nimemchoka

both teams to score-YES

JF-Expert Member
Nov 11, 2022
964
1,847
Habari wakuu, mke wangu toka nimuoe sina chochote nachostahili kufanyiwa kama mume.

Heshima 0
Tabia 0
Kununa nuna A+

Kusex mpaka nianze mimi, nisipoanza ngoma 0-0 na since nioe mwezi wa 8 mwaka jana sijasex nae zaidi ya mara 5 na zote naanza mimi kudai penzi though no Mutual Connection.

Mke meseji ninamtumia saa 1 asubuhi kujibiwa saa 10 jioni. Since day 1 ya ndoa yangu sijapata raha yoyote ile zaidi ya karaha tu. Leo nimeamua kumtolea uvivu.

WAKUU TUSIKURUPUKE KUOA.

IMG-20230622-WA0056.jpg
 
Kaka umeoa mmachame hahahaa joking

Kama hujawahi mkosea, usaliti, au conflict iliyopo kati yenu resolve. Myajenge.

Kama ulishawahi ongea nae bado habadiliki, then hizo chat iwe warning ya mwisho.
Asipo badilika kutoka hapo, mtolee vitu nje au mrudishe kwao

Ila hata siku moja dont let a woman disrespect you, uki allow atakuwa anakufanyia hivyo for the rest of your life
 
Kaka umeoa mmachame hahahaa joking

Kama hujawah mkosea, usaliti, au conflict iliyopo kati yenu resolve. Myajenge.

Kama ulishawahi ungea nae bado habadiliki ,then hizo chat iwe warning ya mwisho.
Asipo badilika kutoka hapo ,mtolee vitu nje,au mrudishe kwao

Ila hata siku moja dont let a woman disrespect you, uki allow atakuwa anakufanyia hivyo for the rest of your life
Zaramo..Na nishajaribu kuresolve kwa kureport kwa mshenga na wazazi pia ila bado yupo vle vle tu..Mwishowe nikaambiwa nimewatukana wazazi wake..Sasa nataka nifanye maamuzi bila kuripoti.
 
Mkuu hebu tupe uzoefu........

Ukimwomba mbususu anakataa? akikataa anasema anakataa kwa sababu gani?
ktk ndoa yng toka nimuoe mwezi wa 8..last time nmemuomba mbususu mwezi wa 9 mwanzoni..tena hyo ni mara ya 5..hakuonyesha kukubali..na aliponipa sikuona ushrkiano wwte..kama hakupenda vile..na mby zaid Jeuri mno..
 
Habari wakuu.. mke wngu toka nimuoe sina chochote nachostahili kufanyiwa kama mume..


Heshima 0
Tabia 0
Kununa nuna A+
Kusex mpk nianze mimi, nisipoanza ngoma 0-0..na since nioe mwezi wa 8 mwaka jana sijasex nae zaidi ya mara 5..na zote naanza mimi kudai penzi though No Mutual Connection..

Mke meseji ninamtumia saa1 asubuhi kujibiwa saa10 jioni. Since Day 1 ya ndoa yangu..sijapata Raha yyte ile zaidi ya karaha tu.. Leo nimeamua kumtolea uvivu.. WAKUU TUSIKURUPUKE KUOA.

Mpe hela mpeleke out
 
Kwanini mnajibizana kwenye simu? Wanandoa mnashindwa kukaa chini mkaongea? Mnaogopana?

Huo ni upwiru,
Tafuta siku ushinde nyumbani we na mkeo tu mpike mle kisha zagamuaneni kisawasawa baada ya ulete mrejesho
Mkuu aliniaga anaenda kwa baba ake kusalimia..kila siku kusalimia tu..mie namkubalia tu..na ndo maana tunachat sbb yupo kwa baba ake..tushakaa chini mkuu zaidi ya mara 30..ndo kwnz tabia inazidi kuwa mbaya tu..
 
Back
Top Bottom