Librarian 105
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 262
- 357
nimeelewa ila mhusika ndo yupo kimya ktk hili...ili nijue cha kushauri
nimeelewa ila mhusika ndo yupo kimya ktk hili...ili nijue cha kushauri
Sasa kumbe hadi mzazi ana makosa embu kaeni kikao cha familia au navyo mshakaa sana?Kwnz kusalimia mtihani..pia hata nkiumwa..hana cha kunijulia hali wala nini..na mambo mengi mkuu..na mbaya zaid mpk mama yang hcho kiburi anamuonyeshea..pia akiwa anaenda sehem..mama ake anakuja tu kwangu anamchukua..badae ndo ananiaga anatoka..hali ya kua ashatoka kitambo..
dahSio Kwa woteee
Mkuu au tatizo uchumi?NDIO bila sababu yyte ile..
Kama hakupendi kwanini alikubali mkaona?Yah 1..tulimpt kbl y ndoa..tena ndo nilifosi kweli kweli..ndo akaptkn hyo mtt..
sawa mkuu.Pitia pitia nyuzi zangu ,upate A B C D za kudeal na Hawa viumbe.
hata mie nashangaa..watoto si watakua tu.Sasa ndo uishi Kwa mateso kisa unawatoto
Ndo wazaramo hao, sasa ona hadi mama mkwe anakudharau, anampitia mwanae Kama Yuko single....na huyo mama ndiye kashikilia familia, hapo hata umshirikishe Baba mkwe hakuna msaada utapata.....kifuatacho huyo atakupanda kichwani, hana adabu yeye, na mamake pia Hana adabu na ndo kamshikia akili.Kwnz kusalimia mtihani..pia hata nkiumwa..hana cha kunijulia hali wala nini..na mambo mengi mkuu..na mbaya zaid mpk mama yang hcho kiburi anamuonyeshea..pia akiwa anaenda sehem..mama ake anakuja tu kwangu anamchukua..badae ndo ananiaga anatoka..hali ya kua ashatoka kitambo..
umemaliza vzr mkuu.Majibu yake kwa upande mwingine anaonekana ni mtu mpole siyo mwenye kiburi.
inawezekana personality yake haiendani na yako ndo maana umemchoka.
kwa Sasa jaribu kumwambia Ni kitu gan hupendi ilii aache usikimbilie kumfukuza unaweza kuja kukutana na kituko zaidi yake.
yote ya yote
binafsi mapenzi yamenishinda
naapa kwa dini yng muslim..Sikuwahi mfanyia lolote lile baya zaidi ya kumpenda na kumjali pia.Kwani umemfanyia jambo gani ebu kuwa honest tujue ili tukushauri vizuri
Hata sielew mkuu..najikuta tu nimesaini mktb wa ndoa..Sijui nlitupiwa KijiniSasa huyo mke ulichaguliwa na wazazi au shida ilikuwa nini? [emoji1787] Yani ukaoa bubu ambaye pia hana sex drive [emoji1787][emoji1787][emoji1787]?
kwani akiwa na mtoto haiwezekn kuachanaAkizaa nae atamvuruga Zaid jamaa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Huyu jamaa mleta uzi ana shinda kwenye mashine za kubetia na muda wote yupo kwenye vibanda umiza kuangalia mpira, je atapata muda wa kukaa na mke wake na kumzagamu....
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Uliona wapi mzaramo mwenye tako[emoji1787]? Wazaramo ni wachina walipchangamka
Yah yaan nkimuulz yeye ni kuomba msamaha tu kua atanipa..tukishamalza kuomb msamaha..kama hakijatokea kitu anardia yale yale..usiku akinigeuzia mgongo ngoma mpk mornieUlimuuliza kwanini ataki kukupa?
sawa mkuu ila ngoma hii kiboko.Unampa sana attention.
Punguza attention mzee.
Wanawake ukiwapa sana attention huwa wanaanza kuringa.
We malizia mishe zako huko nje kula, mzigo, na mengineyo ukija home pitiliza chumbani kalale.
Wala usijihangaishe nae.
Kausha kimya acha Hela ya kula nenda kapige mitikasi Yako mbona atarudi mwenyewe na mahaba tele.
Inatakiwa ujue kuwa Wanawake hawana akili Wala shukrani.
sawa.Mi nikiona tu dume limeandika "MIE" najua tu tayari tumepigwa.
Hakuna mwanaume hapo
Nitunuku Glory hole hiyo ujue kama hakuna mwanaume au la!!Mi nikiona tu dume limeandika "MIE" najua tu tayari tumepigwa.
Hakuna mwanaume hapo