Madevu mia
Senior Member
- Nov 8, 2014
- 142
- 329
Aje alete mrejesho kama aliichapa. Usiku ushapita.
Kbs mkuu maana uck kwake ni km mwaka asipoichapa [emoji1]
Aje alete mrejesho kama aliichapa. Usiku ushapita.
Upwiru unakaba koo hasira debeKwanini mnajibizana kwenye simu? Wanandoa mnashindwa kukaa chini mkaongea? Mnaogopana?
Huo ni upwiru,
Tafuta siku ushinde nyumbani we na mkeo tu mpike mle kisha zagamuaneni kisawasawa baada ya ulete mrejesho
NdioKumbe
😂😂😂UpoUpwiru unakaba koo hasira debe
Pole sana Anza kuandika wosia 😂Majibu yake kwa upande mwingine anaonekana ni mtu mpole siyo mwenye kiburi.
inawezekana personality yake haiendani na yako ndo maana umemchoka.
kwa Sasa jaribu kumwambia Ni kitu gan hupendi ilii aache usikimbilie kumfukuza unaweza kuja kukutana na kituko zaidi yake.
yote ya yote
binafsi mapenzi yamenishinda
Kwani umemfanyia jambo gani ebu kuwa honest tujue ili tukushauri vizuriMkuu inafikia hatua tuko chumbani yeye kununa tu.. nisipoanza mimi kuongea yeye atakaa zake kimya tu..aisee arrgh hapana kwa kweli
Nipo😂😂😂Upo
Sasa huyo mke ulichaguliwa na wazazi au shida ilikuwa nini? 🤣 Yani ukaoa bubu ambaye pia hana sex drive 🤣🤣🤣?uzuri angekua ana kasoro kitandani tu ningevumilia..Yaani ana Vipengele vingi mno.
Mmmh! Hilo kabila ni matatizo mkuu.Zaramo..Na nishajaribu kuresolve kwa kureport kwa mshenga na wazazi pia ila bado yupo vle vle tu..Mwishowe nikaambiwa nimewatukana wazazi wake..Sasa nataka nifanye maamuzi bila kuripoti.
Aisee Pole sanaaktk ndoa yng toka nimuoe mwezi wa 8..last time nmemuomba mbususu mwezi wa 9 mwanzoni..tena hyo ni mara ya 5..hakuonyesha kukubali..na aliponipa sikuona ushrkiano wwte..kama hakupenda vile..na mby zaid Jeuri mno..
Poleni sana🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Habari wakuu, mke wangu toka nimuoe sina chochote nachostahili kufanyiwa kama mume.
Heshima 0
Tabia 0
Kununa nuna A+
Kusex mpaka nianze mimi, nisipoanza ngoma 0-0 na since nioe mwezi wa 8 mwaka jana sijasex nae zaidi ya mara 5 na zote naanza mimi kudai penzi though no Mutual Connection.
Mke meseji ninamtumia saa 1 asubuhi kujibiwa saa 10 jioni. Since day 1 ya ndoa yangu sijapata raha yoyote ile zaidi ya karaha tu. Leo nimeamua kumtolea uvivu.
WAKUU TUSIKURUPUKE KUOA.
Mie nilitamani kumshauri, Ila nilivyokumbuka yangu yamenishinda ndo niingilie ya watu🤣🤣🤣Majibu yake kwa upande mwingine anaonekana ni mtu mpole siyo mwenye kiburi.
inawezekana personality yake haiendani na yako ndo maana umemchoka.
kwa Sasa jaribu kumwambia Ni kitu gan hupendi ilii aache usikimbilie kumfukuza unaweza kuja kukutana na kituko zaidi yake.
yote ya yote
binafsi mapenzi yamenishinda
haina umuhimu ni suala la muda tu nikinywa pepsi ya baridi na korosho wiki mbili nitasahau kila kituPole sana Anza kuandika wosia 😂
Piga chini huo mzigo kabla jua halijazamando naendelea nae hapa..mkuu ndoa yng ina vipengele mno..Mungu ndiye ajuae..mpk nashare nanyi ujue imenishinda.
Hatari sanaaa...yani wanawake visirani huwa wapo aisee..Sasa ulimlipia mahari ya kazi gani?Mara tano tu?
Nataka niachane na masuala ya kushauri mapenzi haya mambo kumbe ni magumu sana yakikukuta Kama hayajakukuta kutoa ushauri ni rahisiMi
Mie nilitamani kumshauri, Ila nilivyokumbuka yangu yamenishinda ndo niingilie ya watu🤣🤣🤣
Anyway, ale vizuri, apumzishe mwili wake, atafute hela....siku moja moja auze mechi🤣 Kwanza duniani tunapita, asikubali kuendeshwa na toto la mtu hivyo🤣🤣🤣
Kanitia hasira angekuwa kaka yangu angenikoma na talaka angetoa ndoa yemyeee yaonekana ya kiislamu Sasa Kuna ugumu gani kumpa talaka iwapo ndoa yenyeee tendo la ndoa hapati.jamaa Hana maamuzi ya kiume alitakiwa aje hapa kutoa tu simulizi sio kuomba ushauri mie mwanamke ujinga tu kuvumilia kwenye ndoa siwezi siku nilomuacha mume wangu haamini mpaka leo toka 2013 anibembeleza turudiane kabadilika ilikuwa ujana nimekataa na nimetolewa na mtoto yeye kashaowa wake wa 4 anaacha na hawazai basi analalamika mtoto huyu angekuwa wake Yaani mpaka mkewe wa Sasa anionea wivu balaa kashajua jamaa anipenda mpaka ananichukia tulikutana ukweni kwenye misiba mwanaume mara Ani block mara ana unblock anahangaika tu 😁 nilomuacha miezi 6 tu ya ndoa alikuwa full Bata na madem muda na mie hana wazazi wake wakaingilia kati ndo kwanza kama alitiwa ndimu tendo la ndoa atake yeye au ulalamile hio siku atapiga show ya kibabe mpaka unasamehe Kila kitu kukikucha mwendo ule ule nikamwambia usipobadilika ipo siku nitakuacha na hauto amini na huwa sijui kusamehe alijua utani mpaka Leo inamuuma,nimepata mume anipenda mie na kunijali ndugu zangu wanangu Alihamdulillah nimepata utulivu naweza kuwa miongoni mwa wanawake walo jaaliwa mume bora sio Tajiri ila ndoa yenye furaha na amani kwanza kujua ni mume wangu mpaka nikuambie utajua marafiki tu .kwahio kaka aache ujinga wanawake wako kibao ni yeye kuchagua alie sahihi mapungufu kwa mwanadamu kawaida ila sio hayo ya mkewe.mchane