Wakuu, mke wangu nimemchoka

Wakuu, mke wangu nimemchoka

Huyo kapekua Simu yako bila wewe kujua.


Sasa aloyakuta anaona kwanza amefanya kosa kupekua Simu yako bila ridhaa yako Na aloyakuta huko Ndiyo ya Fanya kukununia.

Wanawake wengine bana!

Wako na ujinga mwingi wa kimapokeo.
Huyo atakuwa mjinga, Yani apekue simu afu are nalo Rohoni? Raha ya kupekua simu unaliamsha dakika hiyo hiyo na simu mkononi, Kama ngumi mpigane, yani mkose raha wote🤣🤣🤣
Hivyo si atakuja amtilie sumu Kaka etu?
 
Habari wakuu, mke wangu toka nimuoe sina chochote nachostahili kufanyiwa kama mume.

Heshima 0
Tabia 0
Kununa nuna A+

Kusex mpaka nianze mimi, nisipoanza ngoma 0-0 na since nioe mwezi wa 8 mwaka jana sijasex nae zaidi ya mara 5 na zote naanza mimi kudai penzi though no Mutual Connection.

Mke meseji ninamtumia saa 1 asubuhi kujibiwa saa 10 jioni. Since day 1 ya ndoa yangu sijapata raha yoyote ile zaidi ya karaha tu. Leo nimeamua kumtolea uvivu.

WAKUU TUSIKURUPUKE KUOA.

Wazaramo hawapo hivyo bro....wanapenda hiyo kitu unaoyoomba kuliko unavyodhania.
Km hivyo ndivyo mnavyoishi kwenye sms hizo. Huyo mke anapelekewa moto vizuri tu na jamaa wengne...
Mpeleke kwao akakae kwa muda...km kuna jambo utalijua..

Mbili...tabia za ukimya hawana sio haiba yao..anakuactia...jaribu kwenda nae ukweni uone uchangamfu wake..
 
Unampa sana attention.

Punguza attention mzee.

Wanawake ukiwapa sana attention huwa wanaanza kuringa.

We malizia mishe zako huko nje kula, mzigo, na mengineyo ukija home pitiliza chumbani kalale.

Wala usijihangaishe nae.

Kausha kimya acha Hela ya kula nenda kapige mitikasi Yako mbona atarudi mwenyewe na mahaba tele.

Inatakiwa ujue kuwa Wanawake hawana akili Wala shukrani.
 
ktk ndoa yng toka nimuoe mwezi wa 8..last time nmemuomba mbususu mwezi wa 9 mwanzoni..tena hyo ni mara ya 5..hakuonyesha kukubali..na aliponipa sikuona ushrkiano wwte..kama hakupenda vile..na mby zaid Jeuri mno..
Jomba langu hapo huna mtu, no affection, no love. Sijui hali ilikuwaje before hadi mkaona inafaa kuona?
ktk ndoa yng toka nimuoe mwezi wa 8..last time nmemuomba mbususu mwezi wa 9 mwanzoni..tena hyo ni mara ya 5..hakuonyesha kukubali..na aliponipa sikuona ushrkiano wwte..kama hakupenda vile..na mby zaid Jeuri mno..
 
Sawa lakini fahamu kuwa Wanaume wa kisukuma ni habari nyingine kiromantic,

Kuelewa zaidi hili pata mrejesho toka Kwa wanawake walo- date na SukumaMen.

Kwa bara hao wanaongoza wengine wakifuatia.

Kwanza wana ule urefu mzuri wa kunyooka kiume , halafu wako na zile huba natural ambazo wanawake wengi wanatarajia kufanyiwa na Mwanaume wake.

Be informed.
Kwani hapa mada inahusu wanaume au wanawake?kazi ya mwanaume ni kutafuta hela na kuileta mezani kisha mwanamke ndio ana kazi ya kumliwaza mwanamme kwa mateso aliyoyapata akiwa kibaruani kutafuta msosi wa familia,mwanamme ukiwa romantic halafu hela za kuhudumia familia huna utaonekana kituko.
 
Back
Top Bottom