Wakuu, mke wangu nimemchoka

Wakuu, mke wangu nimemchoka

Polesana
Walisema marry your best friend waliona mbali sana,mke ambae siorafiki hawz kuhudumia Wala kukuonea huruma
hata huyo best friend hana garantee ndani ya ndoa. Ndoa ni kitu adhimu chenye kuhitaji hofu na mungu kwa wanandoa kuheshimiana na kutimiziana haki na wajibu ndani ya ndoa.
Mara ngapi tunasomea na kusikia wanandoa walioanza urafiki tangu utotoni wakipelekana mahakamani kudai haki za kutalakiana!?
 
Ushauri Mwingine,Msugue Vizuri,usimwache hadi umtie ujauzito.Sometimes huwa unakuwa utoto.
 
Pole kaka huo ni mtihani ila hapo unachotakiwa kufanya usiombe game wewe kila siku lianzishe ikiwezekana mfululizo msome uone kwa atareact vp na ukipiga usiwe mvivu sugua haswa
 
Hakupendi huyo. Halafu usitake maisha ya ndoa ya wengine yafanane na ya kwako. Nimeona huko unashangaa wanaume wengine kutengewa maji. Natamani nijue kiburi cha mkeo tofauti na kutopenda sex.
Kwnz kusalimia mtihani..pia hata nkiumwa..hana cha kunijulia hali wala nini..na mambo mengi mkuu..na mbaya zaid mpk mama yang hcho kiburi anamuonyeshea..pia akiwa anaenda sehem..mama ake anakuja tu kwangu anamchukua..badae ndo ananiaga anatoka..hali ya kua ashatoka kitambo..
 
Back
Top Bottom