Wakuu, mke wangu nimemchoka

Wakuu, mke wangu nimemchoka

Ndoa nyingi za hivi ni zile 80% wazazi wamehusika kuwaweka karibu,ni either familia zenu zilikua family friend na nyie mkaona isiwe shida acha muwafurahishe wazazi,nk

ndoa ambazo mmetafutana wenyewe (hasa mwanaume) umetongoza toto la mtu,limekusumbua,mkapta ups n down Akizingua namna hiyo ni unamtekenya tu kwa (kutorudi home wiki hivi) uone atacheka au atanuna.

Huyo mnaogopana,ndo mana mnachat chat kiufupi mwanaume kama hauna ujasiri ule tunauita wa kiume kwa mkeo,Fine unamuogopa mi sijui hebu Na wewe mjaribu fanya kama Hujali wala nini..

usimuombe K usimtake kwa lolote,deal nae eneo la kiburi tu na heshima kuhusu mapenzi mpotezeee yani ukimgombeza mgombeze kuhusu kutokua na adabu achana na habari za K na mapenzi, Mwaka mzima nawewe tafuta kipoozeo..ila tulia kwanza na mkeo.

Boss mkeo hata kama anachepuka usikurupuke kumuacha,ni MKE huyo sio mchepuko ndio mana sijakushauri umuache nyie pambaneni wewe si ushateseka mwaka,mlipizie na yeye MWAKA asiporekebishika sasa Hapo Jiongezi,sikushauri kitu mimi (in TX DULLAH VOICE)
 
Kwanini mnajibizana kwenye simu? Wanandoa mnashindwa kukaa chini mkaongea? Mnaogopana?

Huo ni upwiru,
Tafuta siku ushinde nyumbani we na mkeo tu mpike mle kisha zagamuaneni kisawasawa baada ya ulete mrejesho
Atampasua wakishinda wote kwa majibu haya, niamini mimi 😎 😎
 
Habari wakuu, mke wangu toka nimuoe sina chochote nachostahili kufanyiwa kama mume.

Heshima 0
Tabia 0
Kununa nuna A+

Kusex mpaka nianze mimi, nisipoanza ngoma 0-0 na since nioe mwezi wa 8 mwaka jana sijasex nae zaidi ya mara 5 na zote naanza mimi kudai penzi though no Mutual Connection.

Mke meseji ninamtumia saa 1 asubuhi kujibiwa saa 10 jioni. Since day 1 ya ndoa yangu sijapata raha yoyote ile zaidi ya karaha tu. Leo nimeamua kumtolea uvivu.

WAKUU TUSIKURUPUKE KUOA.

Pole sana mkuu,Yaani hata mwaka mmoja haujaisha toka muoane umeshamchoka mwenzako Kiasi hicho?,Aisee ndoa za siku hizi ni mtihani mkubwa.Inawezekana ulioa mwanamke unampenda sana kuliko ambavyo yeye anakupenda.
 
Shukuru hamkuwa mmezaa, mkishakuwa na watoto inahitaji roho ngumu sana kuachana, tena mkishazaa hakuna kuachana...mnatengana tu na kuanzia drama za single Mothers na baby daddies.....

Kuhusu mleta mada kavamia mtumbwi wa vibwengo[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ukaoe mzaramo kweli? Wenyewe hawawezani, na kitamaduni zao katika ndoa mwanamke ndio mwenye sauti, mume anatakiwa kuwa yupo yupo Tu aongozwe na mkewe.....Kama hapo anasema mke kila siku anaenda kwao, na yeye mume yupo tu....Wanaume wengine angevizia hivyo kaenda kwao na yeye angeenda kumkabidhi huko huko, kuwa binti yenu huyu hapo, kwangu asirudi, Kama alikuwa bado anapapenda Kwa Baba yake aliolewa Ili agundue nini?
Sio kweli ila anahitaji kuchangamka, ukiwa fala anakuburuza kweli kweli
 
Back
Top Bottom