Wakuu, mke wangu nimemchoka

Wakuu, mke wangu nimemchoka

Yah yaan nkimuulz yeye ni kuomba msamaha tu kua atanipa..tukishamalza kuomb msamaha..kama hakijatokea kitu anardia yale yale..usiku akinigeuzia mgongo ngoma mpk mornie
Nilikuwa nataka nikupe ushauri wa nini utakiwa ufanye ili uendelee kuwa nae lakini kutokana na namna ulivyosema kwanza ndoa yenu ni changa Nilitegemea ndio kuwe na mahaba lakini haijatokea hivyo, nilitaka niseme shida labda ni umri wake lakini ana umri mkubwa 28, nilitaka niseme ni stress lakini kwa maelezo yako inaonesha ni tabia yake.

Umejaribu kukaa nae si Mara 30 lakini haijabadilisha kitu kwenye ndoa yako inaonesha may huyo manzi ana mtu mwingine ambaye anampenda

My conclusion: kijana hapo nakushauri mpe Talaka huyo manzi hakuna option nyingine huyo hakupendi kabisa huwezi ukalazimisha kuishi na mtu ambaye hakupendi
 
Kwanza nikupe pole sijui umeoa kabila gani (samahani lakini ) na umeoa Mji wa namna gani, kuanzia kushika dini, hali ya kiuchumi wazazi wake, yeye mwenyewe Elimu yake, km Kuna ndugu zake waliolewa, na je kalelewa na wazazi wote 2 au na single-mother (rejea mabandiko yangu humu). Hivyo vitu ni muhimu kuvijua.

Pili, kuanza kuomba tendo la ndoa nadhani siyo shida sn nadhani ni tabia ya baadhi ya akina dada either sababu ya aibu au kuona kuwa akikuanza utamuona kicheche. Wapo wanawake wengi tu wenye tabia hiyo, hivyo kwangu mimi hilo hakuna shida sn ingawa wakati mwingine ni wajibu wake pia kukumbushia pindi anapohitaj. Ila km hata unapomkubusha anakupa kwa manati, hiyo siyo sahihi, ni ujeuri.

Tatu, inaonekana huyo mwanamke wewe ndiye una shida naye yeye hakuhitaji kiviiile. Na inaonekana wewe ndiye ulitumia nguvu nyingi kumshawishi umuoe na alikubali kwa sababu anazojua yeye. Km una pesa au umesoma hizo ndiyo sababu.

Nne, hujatuambia km mkeo ulimtoa kijijini au mjini. Wengi wa kijijini wakija mjini mwanzoni huwa na haibu ila akizoea Mji balaa lake ni kubwa sn.

Tano, hujatuambia km mna mtoto au la ili tujue tukushauri vipi. Km hamna mtoto Kuna shida hapo. Yani ulale na mwanamke mara tano akiwa bado mbichi akose mimba?

Mwisho, MKEO siyo riziki, ana anayempenda kwa dhati. Kwa ufupi, kibri chake kinachangiwa na huyo bwana wa nje. Na wewe una miaka 31 unashindwaj kusimama km mwanaume alafu unasema "Kila mara amekuwa anakuaga anaenda kusalimia baba yake" acha ujinga kijana wangu huyo ni mkeo mwenye mamlaka ya kumpa ruhusa ni wewe. Achana na wehu wa mitandaoni wanaosema wao wanatoa tu taarifa kwa wame zao siyo kuomba ruhusa. Umeshamgundua ni jeuri mnyime sasa hizo route zake, huko anaendaga kukutana na bwana yake siyo baba yake.

Alafu mwanaume unawezaj ku-argue na mwanamke kwenye sm namna hiyo. Vijana wa siku hizi hovyo kabisa, kwanini mnataka kuendesha ndoa kizungu. Mnaendesha ndoa km hamjuhi Mila na tamaduni zenu za Kiafrika. Simama imara kijana wangu, ndoa siyo lelemama. Yakikushinda achana naye, huyo ni kichomi kitakutoboa hadi mbavu.
 
Naweza kusema kwa ndugu yangu hapa , the more aware you become ,the more you understand it's not your job to fix her issues, regulate her emotions ,manage her insecurities,pacify her inner wars, heal her wounds or save her from the consequences of her choices. Yote haya umeyafanya kwake ili abaki Sasa inakugharimu wewe .
 
Kwanza nikupe pole sijui umeoa kabila gani (samahani lakini ) na umeoa Mji wa namna gani, kuanzia kushika dini, hali ya kiuchumi wazazi wake, yeye mwenyewe Elimu yake, km Kuna ndugu zake waliolewa, na je kalelewa na wazazi wote 2 au na single-mother (rejea mabandiko yangu humu). Hivyo vitu ni muhimu kuvijua.

Pili, kuanza kuomba tendo la ndoa nadhani siyo shida sn nadhani ni tabia ya baadhi ya akina dada either sababu ya aibu au kuona kuwa akikuanza utamuona kicheche. Wapo wanawake wengi tu wenye tabia hiyo, hivyo kwangu mimi hilo hakuna shida sn ingawa wakati mwingine ni wajibu wake pia kukumbushia pindi anapohitaj. Ila km hata unapomkubusha anakupa kwa manati, hiyo siyo sahihi, ni ujeuri.

Tatu, inaonekana huyo mwanamke wewe ndiye una shida naye yeye hakuhitaji kiviiile. Na inaonekana wewe ndiye ulitumia nguvu nyingi kumshawishi umuoe na alikubali kwa sababu anazojua yeye. Km una pesa au umesoma hizo ndiyo sababu.

Nne, hujatuambia km mkeo ulimtoa kijijini au mjini. Wengi wa kijijini wakija mjini mwanzoni huwa na haibu ila akizoea Mji balaa lake ni kubwa sn.

Tano, hujatuambia km mna mtoto au la ili tujue tukushauri vipi. Km hamna mtoto Kuna shida hapo. Yani ulale na mwanamke mara tano akiwa bado mbichi akose mimba?

Mwisho, MKEO siyo riziki, ana anayempenda kwa dhati. Kwa ufupi, kibri chake kinachangiwa na huyo bwana wa nje. Na wewe una miaka 31 unashindwaj kusimama km mwanaume alafu unasema "Kila mara amekuwa anakuaga anaenda kusalimia baba yake" acha ujinga kijana wangu huyo ni mkeo mwenye mamlaka ya kumpa ruhusa ni wewe. Achana na wehu wa mitandaoni wanaosema wao wanatoa tu taarifa kwa wame zao siyo kuomba ruhusa. Umeshamgundua ni jeuri mnyime sasa hizo route zake, huko anaendaga kukutana na bwana yake siyo baba yake.

Alafu mwanaume unawezaj ku-argue na mwanamke kwenye sm namna hiyo. Vijana wa siku hizi hovyo kabisa, kwanini mnataka kuendesha ndoa kizungu. Mnaendesha ndoa km hamjuhi Mila na tamaduni zenu za Kiafrika. Simama imara kijana wangu, ndoa siyo lelemama. Yakikushinda achana naye, huyo ni kichomi kitakutoboa hadi mbavu.
Paragraph namba tatu hapo inachoma kama chumvi kwenye kidonda kibichi
 
Habari wakuu, mke wangu toka nimuoe sina chochote nachostahili kufanyiwa kama mume.

Heshima 0
Tabia 0
Kununa nuna A+

Kusex mpaka nianze mimi, nisipoanza ngoma 0-0 na since nioe mwezi wa 8 mwaka jana sijasex nae zaidi ya mara 5 na zote naanza mimi kudai penzi though no Mutual Connection.

Mke meseji ninamtumia saa 1 asubuhi kujibiwa saa 10 jioni. Since day 1 ya ndoa yangu sijapata raha yoyote ile zaidi ya karaha tu. Leo nimeamua kumtolea uvivu.

WAKUU TUSIKURUPUKE KUOA.

Hii ndoa GG tayari

Bado wewe kuwin Either half

🤣🤣🤣🤣
 
Habari wakuu, mke wangu toka nimuoe sina chochote nachostahili kufanyiwa kama mume.

Heshima 0
Tabia 0
Kununa nuna A+

Kusex mpaka nianze mimi, nisipoanza ngoma 0-0 na since nioe mwezi wa 8 mwaka jana sijasex nae zaidi ya mara 5 na zote naanza mimi kudai penzi though no Mutual Connection.

Mke meseji ninamtumia saa 1 asubuhi kujibiwa saa 10 jioni. Since day 1 ya ndoa yangu sijapata raha yoyote ile zaidi ya karaha tu. Leo nimeamua kumtolea uvivu.

WAKUU TUSIKURUPUKE KUOA.

mmm pole jaribu kumtafuta mshenga lakini kutokana na hizo sms nadhani utakuwa na mchepuko
 
Back
Top Bottom