Wakuu, mke wangu nimemchoka

Wakuu, mke wangu nimemchoka

Mbona chache baby?!!!!!

Hebu rekebisha calculation zako vzr
Hizo 20 ni ndani ya uwanja bhana

Kuna zile mechi za kustukiza za kitchen za kumla mpishi na chakula chake, bathroom, za kucheck game la Yanga, Mayelle akitetema na sisi [emoji2222][emoji2222]

Halafu mimi sisubiri uniombe, nakubaka MWENYEWEEEEEEE!!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ulivyo mzuri kwa siku itakua mara 3 kama dozi
 
Pole kaka hizo ndio changa moto za ndoa ,piga mimba huyu fasta.
Utakuja nishukuru niko hapa Jf nimekaa
Umempotosha mwenzio,mtu wa hivyo ni kumwagia nje,au kutumia kondom,kupiga mimba hakubadilishi chochote zaidi ys kuleta watoto wa kutesa,bora mtu muachane bila mtoto

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
 
Atleast wasukuma hawana tabia za watu wa Lindi, mtwara na Pwani.
Wale wa kusini ni kiboko.
I am speaking from my experience sio kuhadithiwa.
Wana tabia gani hizo mkuu?mbona pwani ndio watu wenye mahaba na ndio watu wanaotumia muda wao vizuri kwenye mapenzi,yaani mapenzi kwao ni kama taaluma na ndio maana inasemekana pwani ndio mapenzi yalikozaliwa ila sijawahi kusikia mtu akisifia kwamba mapenzi yametokea usukumani au uchagani
 
Back
Top Bottom