Shukuru hamkuwa mmezaa, mkishakuwa na watoto inahitaji roho ngumu sana kuachana, tena mkishazaa hakuna kuachana...mnatengana tu na kuanzia drama za single Mothers na baby daddies.....
Kuhusu mleta mada kavamia mtumbwi wa vibwengo🤣🤣🤣 ukaoe mzaramo kweli? Wenyewe hawawezani, na kitamaduni zao katika ndoa mwanamke ndio mwenye sauti, mume anatakiwa kuwa yupo yupo Tu aongozwe na mkewe.....Kama hapo anasema mke kila siku anaenda kwao, na yeye mume yupo tu....Wanaume wengine angevizia hivyo kaenda kwao na yeye angeenda kumkabidhi huko huko, kuwa binti yenu huyu hapo, kwangu asirudi, Kama alikuwa bado anapapenda Kwa Baba yake aliolewa Ili agundue nini?