masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,382
- 19,283
Bila sababu?Mkuu inafikia hatua tuko chumbani yeye kununa tu.. nisipoanza mimi kuongea yeye atakaa zake kimya tu..aisee arrgh hapana kwa kweli
Bila sababu?Mkuu inafikia hatua tuko chumbani yeye kununa tu.. nisipoanza mimi kuongea yeye atakaa zake kimya tu..aisee arrgh hapana kwa kweli
Mna watoto?Mkuu aliniaga anaenda kwa baba ake kusalimia..kila siku kusalimia tu..mie namkubalia tu..na ndo maana tunachat sbb yupo kwa baba ake..tushakaa chini mkuu zaidi ya mara 30..ndo kwnz tabia inazidi kuwa mbaya tu..
Sasa mkuu huyo mkeo si anat*mbwer na mtu mwingine huko,nawewe tafuta mnyonge umtolee uvivu kua na wanawake kama 7 hivi ndio utafurahiMkuu aliniaga anaenda kwa baba ake kusalimia..kila siku kusalimia tu..mie namkubalia tu..na ndo maana tunachat sbb yupo kwa baba ake..tushakaa chini mkuu zaidi ya mara 30..ndo kwnz tabia inazidi kuwa mbaya tu..
Naona km ghetto tu sbb anayefanya kuonekn nyumba ndo hvo dish limeyumba.Umeoa halafu makazi yako unayaita gheto?
Yah 1..tulimpt kbl y ndoa..tena ndo nilifosi kweli kweli..ndo akaptkn hyo mtt..Mna watoto?
NDIO bila sababu yyte ile..Bila sababu?
Kunae wenzio wanakusaidia faza
Kwenye uchumba ulianya kazi gani?Habari wakuu.. mke wngu toka nimuoe sina chochote nachostahili kufanyiwa kama mume..
Heshima 0
Tabia 0
Kununa nuna A+
Kusex mpaka nianze mimi, nisipoanza ngoma 0-0 na since nioe mwezi wa 8 mwaka jana sijasex nae zaidi ya mara 5 na zote naanza mimi kudai penzi though No Mutual Connection..
Mke meseji ninamtumia saa1 asubuhi kujibiwa saa10 jioni. Since Day 1 ya ndoa yangu..sijapata Raha yoyote ile zaidi ya karaha tu.. Leo nimeamua kumtolea uvivu.. WAKUU TUSIKURUPUKE KUOA.
Mkuu naomba nikuulize, unamzidi mkeo kipato? Mkeo ni mama wa nyumbani ilhali wewe ndio una kazi yenye kipato cha kutosha kuendesha familia? both teams to score-YESMkuu najuta sana ktk maisha yangu..Mwanzo alikuwa hivi na alinipromise nikioa ataacha..nikamuamini..
Mnaoa mapema sana 🤣😂,ndoa ni kuingia mkiwa watu wazima,ulimwengu umebadilika siku hizi sio km zamani za wazazi wetu wanaoana bado wadogo na ndoa zinatuliaAna 28 mimi 31
Una uhakika gani kama kweli yupo kwa babake?Mkuu aliniaga anaenda kwa baba ake kusalimia..kila siku kusalimia tu..mie namkubalia tu..na ndo maana tunachat sbb yupo kwa baba ake..tushakaa chini mkuu zaidi ya mara 30..ndo kwnz tabia inazidi kuwa mbaya tu..
Kapata Mtoto wa uswazi manzese, hajazoea wanaume wapole kupitiliza maana ashazoea kuishi na wahuni, wamechangamka, dakika mbili mbele ashachezea vibao. Huku kakutana na mstaarabu hapati ile vibe, ile thrill anaona ndoa imepoa [emoji16][emoji16]
Ndio mkuu..nina kibarua tu kinaendesha familyMkuu naomba nikuulize, unamzidi mkeo kipato? Mkeo ni mama wa nyumbani ilhali wewe ndio una kazi yenye kipato cha kutosha kuendesha familia? both teams to score-YES
Ndoa ni ndoanoSasa mkuu huyo mkeo si anat*mbwer na mtu mwingine huko,nawewe tafuta mnyonge umtolee uvivu kua na wanawake kama 7 hivi ndio utafurahi
Since day 1 mkuu..hlf kuna ile wakwe zake wanatutembelea baada ya siku kadhaa ya za ndoa...kuna bibi yng alivokuja tu the way wife alivowapikia wageni na kuwaandalia bibi akanitonya kua mke wng ni mchoyo..sikumuelewa kbsa..Now ndo naRealize.Kwenye uchumba ulianya kazi gani?
Nyumba ni msingi.. miezi 8 ni michache sana kwenye ndoa. Hizo shida zilikuwepo since you meet her day 1
Mkuu hta uchumba alikua ypo hvihvi..ila akanipromise nkimuoa atabdlka..ndo maana nasema nilikurupuka kuoa...na ktk ndoa nashangaa ndo zimezidi tabia mbovu..Na kuhsu Red Card mkuu ningeshaitoa toka siku 7 za mwanzo wanm ndoa yetu mwaka jana..maana aliyoyfny siyasahau kbs..
yeye 28 mimi 31Umri wake na wako?