El khelafi
JF-Expert Member
- Apr 17, 2023
- 212
- 493
Kufunga ndoa ni sawa na kujitia do.
🤣🤣Aisee hivi mliwahi kupendana kweli? Maana mnachati kam magaidi
Sio Kwa woteeeSawa mkuu..ila Ndoa aisee ni ngumu mno.
Nimependa ulivyomaliza "tusikurupuke kuoa"Habari wakuu, mke wangu toka nimuoe sina chochote nachostahili kufanyiwa kama mume.
Heshima 0
Tabia 0
Kununa nuna A+
Kusex mpaka nianze mimi, nisipoanza ngoma 0-0 na since nioe mwezi wa 8 mwaka jana sijasex nae zaidi ya mara 5 na zote naanza mimi kudai penzi though no Mutual Connection.
Mke meseji ninamtumia saa 1 asubuhi kujibiwa saa 10 jioni. Since day 1 ya ndoa yangu sijapata raha yoyote ile zaidi ya karaha tu. Leo nimeamua kumtolea uvivu.
WAKUU TUSIKURUPUKE KUOA.
kwanini umpe hela mkeo ili akupe mbususu wakati kabla hajaolewa alikuwa anawapa waatu bure.Mpe hela mpeleke out
Itakua walikutana wakaambiana kuanzia leo wewe ni mpenzi wangu. No I love you
Bado hamjakomaa, Ndoa yenu ni changaHabari wakuu, mke wangu toka nimuoe sina chochote nachostahili kufanyiwa kama mume.
Heshima 0
Tabia 0
Kununa nuna A+
Kusex mpaka nianze mimi, nisipoanza ngoma 0-0 na since nioe mwezi wa 8 mwaka jana sijasex nae zaidi ya mara 5 na zote naanza mimi kudai penzi though no Mutual Connection.
Mke meseji ninamtumia saa 1 asubuhi kujibiwa saa 10 jioni. Since day 1 ya ndoa yangu sijapata raha yoyote ile zaidi ya karaha tu. Leo nimeamua kumtolea uvivu.
WAKUU TUSIKURUPUKE KUOA.
Mtwara, Lindi, Songea(wangoni) na Pwani na Dodoma(wagogo).Kusini ipo mkuu?
Nyanda za juu kusini, kusini?
Wengine watakwambia kasikazini
Haya mambo aisee ni kuomba Mungu tu
Atleast wasukuma hawana tabia za watu wa Lindi, mtwara na Pwani.Kwa hiyo akaoe usukumani ndio wako romantic?
Kama uchumba alikuwa hivyo ungeacha. Uchumba ni kusomana tabia. Mtu abadiliki kwenye ndoa. Ungemwambia akibadilika ndio ndoa iwe reward.
Pole , ila huna mke
Kwa hiyo akaoe usukumani ndio wako romantic?