Midekoo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 47,775
- 257,516
Akizaa nae atamvuruga Zaid jamaaKwamba atakakoenda ndo atakuta marahisi?
Akizaa nae atamvuruga Zaid jamaaKwamba atakakoenda ndo atakuta marahisi?
Huyu jamaa mleta uzi ana shinda kwenye mashine za kubetia na muda wote yupo kwenye vibanda umiza kuangalia mpira, je atapata muda wa kukaa na mke wake na kumzagamu....Kwanini mnajibizana kwenye simu? Wanandoa mnashindwa kukaa chini mkaongea? Mnaogopana?
Huo ni upwiru,
Tafuta siku ushinde nyumbani we na mkeo tu mpike mle kisha zagamuaneni kisawasawa baada ya ulete mrejesho
Pole sanaa...kweli tusiwapuuze wahenga aisee. Walishasema tabia ya mtu ni kama ngozi ya mwilini haibadiliki.Mkuu najuta sana ktk maisha yangu..Mwanzo alikuwa hivi na alinipromise nikioa ataacha..nikamuamini..
Uliona wapi mzaramo mwenye tako🤣? Wazaramo ni wachina walipchangamkaNamuomba kama umemchoka
Ana wowoooooo?
Tafuta wa kuendana nawe, huyo ana basha lake tena wametoka mbali wewe endelelea kunenepesha vizuri hilo wezere watu tulichakate.Mkuu inafikia hatua tuko chumbani yeye kununa tu.. nisipoanza mimi kuongea yeye atakaa zake kimya tu..aisee arrgh hapana kwa kweli
Ulimuuliza kwanini ataki kukupa?ktk ndoa yng toka nimuoe mwezi wa 8..last time nmemuomba mbususu mwezi wa 9 mwanzoni..tena hyo ni mara ya 5..hakuonyesha kukubali..na aliponipa sikuona ushrkiano wwte..kama hakupenda vile..na mby zaid Jeuri mno..
Mapenz hayashaurikiMi
Mie nilitamani kumshauri, Ila nilivyokumbuka yangu yamenishinda ndo niingilie ya watu🤣🤣🤣
Anyway, ale vizuri, apumzishe mwili wake, atafute hela....siku moja moja auze mechi🤣 Kwanza duniani tunapita, asikubali kuendeshwa na toto la mtu hivyo🤣🤣🤣
[emoji23][emoji23]haya maisha bana
ndoa nyingne unakuta
mwanamke:mume wangu jana ulinifunga sasa leo hadi nitoe draw
mwanaume:hahahaa mkewangu leo tena nakufunga tena magoli 5
mwanamke;thubutuuuuu
mwanaume (tayar msuli umetuna kwa ajili ya pambano)
😀😀😀Ulimuuliza kwanini ataki kukupa?
AiseeeehUliona wapi mzaramo mwenye tako🤣? Wazaramo ni wachina walipchangamka
Shukuru hamkuwa mmezaa, mkishakuwa na watoto inahitaji roho ngumu sana kuachana, tena mkishazaa hakuna kuachana...mnatengana tu na kuanzia drama za single Mothers na baby daddies.....Kanitia hasira angekuwa kaka yangu angenikoma na talaka angetoa ndoa yemyeee yaonekana ya kiislamu Sasa Kuna ugumu gani kumpa talaka iwapo ndoa yenyeee tendo la ndoa hapati.jamaa Hana maamuzi ya kiume alitakiwa aje hapa kutoa tu simulizi sio kuomba ushauri mie mwanamke ujinga tu kuvumilia kwenye ndoa siwezi siku nilomuacha mume wangu haamini mpaka leo toka 2013 anibembeleza turudiane kabadilika ilikuwa ujana nimekataa na nimetolewa na mtoto yeye kashaowa wake wa 4 anaacha na hawazai basi analalamika mtoto huyu angekuwa wake Yaani mpaka mkewe wa Sasa anionea wivu balaa kashajua jamaa anipenda mpaka ananichukia tulikutana ukweni kwenye misiba mwanaume mara Ani block mara ana unblock anahangaika tu 😁 nilomuacha miezi 6 tu ya ndoa alikuwa full Bata na madem muda na mie hana wazazi wake wakaingilia kati ndo kwanza kama alitiwa ndimu tendo la ndoa atake yeye au ulalamile hio siku atapiga show ya kibabe mpaka unasamehe Kila kitu kukikucha mwendo ule ule nikamwambia usipobadilika ipo siku nitakuacha na hauto amini na huwa sijui kusamehe alijua utani mpaka Leo inamuuma,nimepata mume anipenda mie na kunijali ndugu zangu wanangu Alihamdulillah nimepata utulivu naweza kuwa miongoni mwa wanawake walo jaaliwa mume bora sio Tajiri ila ndoa yenye furaha na amani kwanza kujua ni mume wangu mpaka nikuambie utajua marafiki tu .kwahio kaka aache ujinga wanawake wako kibao ni yeye kuchagua alie sahihi mapungufu kwa mwanadamu kawaida ila sio hayo ya mkewe.
Hah sio rahis hivohaina umuhimu ni suala la muda tu nikinywa pepsi ya baridi na korosho wiki mbili nitasahau kila kitu
Hahahah wazaramo ni kama wachina weusi tu 🤣!Aiseeeeh
Sikuwa nafahamu hili🤣
Kwenye ubongo wangu nimejijengea wazaramo ni hatari sana kwenye Big A$s🙌 kumbe ni dar es salaam Chinese 🤣
Sasa ni kabila gani la bara hilo ambao wako romantic kuliko wa pwani,au wachaga?
Kivuruge umeshaanza kazi yako 🤣Pole sana Anza kuandika wosia 😂
😀😀Wew husikiiag wanavosema mapenz yanaua atuachie urithi😂😂Kivuruge umeshaanza kazi yako 🤣
Wana tabia gani hizo mkuu?mbona pwani ndio watu wenye mahaba na ndio watu wanaotumia muda wao vizuri kwenye mapenzi,yaani mapenzi kwao ni kama taaluma na ndio maana inasemekana pwani ndio mapenzi yalikozaliwa ila sijawahi kusikia mtu akisifia kwamba mapenzi yametokea usukumani au uchagani
Najiuliza tu mwanamke huyo ulimuokota bar ama ilikuwaje? Maana kutafta mke wa kuoa ni Process. Unaweza ukawa nae mda mrefu ukimsoma akili yake na tabia zake kabla ya kuja kuhitimisha na ndoa. Wewe mulianzaje hadi kufikia ndoa akawa hivyo? 🤣Mkuu sijafail..hlf ingkua tatizo ni hisia tu tungeyatatua tu..Shida sijaona sifa ya MKE ndani mwake..vyote mtihani..Adabu na vinginevyo F