Kaka hakika nakwambia..utateseka sana...huyo Hana dhamira ya kuwa na wewe...watu wanafungwa kwa kuwadhuru vibaya wapenzi wao...siku atakufanyia tukio utapanda hasira na kuharibu mzee....tafuta amani ya moto mzee...huyo sioni kama pana mke hapo zaidi ya kujitafutia matatizo tu...je, maisha yako yote utaishi kwa stress hivyo? Haiwezekani, weka pembeni...tafuta hela kwa bidii, pumzisha mwili wako, jipende kwanza wewe mengine yatafuata...hao watu wanatesa balaa, mwisho wa siku hakuna kiti utaambulia zaidi ya stress, magonjwa na magomvi basiiii...tafuta amani ya moyo..mtu tumekutana ukubwani aje aniletee ujinga, no siwezi.