Wakuu, mke wangu nimemchoka

Wakuu, mke wangu nimemchoka

Mkuu tatizo unalo wewe binafsi kwa sababu nina uhakika wa asilimia zote kuwa hiyo tabia haikuja kwa ghafla Ila uliilea mwenyewe ,

kwa kuwa uliidharau mipaka yako kama mwanaume na kukosa kusimamia nafasi yako kwenye mahusiano hadi ukuvumilia dharau na makosa yake kwa kuhisi unampenda. Bhasi imeshageuka tabia

Umekosa sauti ya mamlaka kwa jinsi unavyolalamika na kujishusha kupitiliza kiasi anakuchukulia poa..

Shtuka kaka, tengeneza thamani yako iwe ndani au nje ya ndoa yako. Acha kuwa desperate na kutaka kujaliwa na upendo ambao hupewi.

Acha kubembeleza, acha kujilizaliza..
Anza kujipenda wewe sasa, focus na kutafuta hela, vaa vizuri, kula vizuri na uanze kufuatilia vitu vinavyokupa furaha
.
Anachokubania usimuombe na uanze kucheza muziki wake anavyotaka. Kuwa adimu, kuwa wa nadra, usiwe cheap cheap , jipandishe thamani yako mkuu...

Mpe muda wa kukumiss, mpe nafasi ya kuona kuwa huko nje kuna watu wanatamani kuziba nafasi yake... Asiposhtuka bhasi hapo huna chako unless una udhaifu ambao anautumia kama fimbo ya kukuadhibia ndio maana hufurukuti
Sawa mkuu..ila Ndoa aisee ni ngumu mno.
 
Umemaliza kila kitu mkuu,asipoelewa hapa ndio basi tena.
 
Habari wakuu.. mke wngu toka nimuoe sina chochote nachostahili kufanyiwa kama mume..

Heshima 0
Tabia 0
Kununa nuna A+

Kusex mpaka nianze mimi, nisipoanza ngoma 0-0 na since nioe mwezi wa 8 mwaka jana sijasex nae zaidi ya mara 5 na zote naanza mimi kudai penzi though No Mutual Connection..

Mke meseji ninamtumia saa1 asubuhi kujibiwa saa10 jioni. Since Day 1 ya ndoa yangu..sijapata Raha yoyote ile zaidi ya karaha tu.. Leo nimeamua kumtolea uvivu.. WAKUU TUSIKURUPUKE KUOA.

Ndani ya wiki moja tu, tunakurudishia hamu kwa mwanamke uliyemchoka, huduma zetu ni nafuu sana.
Mlete tumtengeneza, ndani ya wiki moja tunakurudishia akiwaa tofauti.
Tuletee mke wako tumhudumie, hautajutia.
 
Habari wakuu.. mke wngu toka nimuoe sina chochote nachostahili kufanyiwa kama mume..

Heshima 0
Tabia 0
Kununa nuna A+

Kusex mpaka nianze mimi, nisipoanza ngoma 0-0 na since nioe mwezi wa 8 mwaka jana sijasex nae zaidi ya mara 5 na zote naanza mimi kudai penzi though No Mutual Connection..

Mke meseji ninamtumia saa1 asubuhi kujibiwa saa10 jioni. Since Day 1 ya ndoa yangu..sijapata Raha yoyote ile zaidi ya karaha tu.. Leo nimeamua kumtolea uvivu.. WAKUU TUSIKURUPUKE KUOA.

Mbona hapa unaonekana wewe ndiye jini kisirani?
 
Ungeelezea jinsi mlivyokua wachumba wangepata kitu sahihi cha kukushauri. Kwa sasa isiwe unatafuta plot ya kumpigia redcard mtoto wa watu
Mkuu hta uchumba alikua ypo hvihvi..ila akanipromise nkimuoa atabdlka..ndo maana nasema nilikurupuka kuoa...na ktk ndoa nashangaa ndo zimezidi tabia mbovu..Na kuhsu Red Card mkuu ningeshaitoa toka siku 7 za mwanzo wanm ndoa yetu mwaka jana..maana aliyoyfny siyasahau kbs..
 
Back
Top Bottom