Wakuu, mke wangu nimemchoka

Wakuu, mke wangu nimemchoka

Mi naona jaribu hivi,kama wadau wengi walivyochangia hapo juu tafuta mama ingine endelea kujilia taratibu,punguza stress,kula vizuri,mpotezee tu ishi kama ulivyozaliwa afu endelea kutafuta pesa zako muda utaongea tu!
 
Lengo lako la kuoa ndio uamua aina ya kuishi nae
Ukioa ili
. kupata watoto wa mke mmoja, kupata mlinzi wa nyumba yako,
Kupata ngono kwa wakati utakao, mfanyakazi wa kukufulia pikia nk,mtu wa kukuliwaza na kukufariji, heshima, kuogopa ndugu,mjasiliamali,nk.
Angalia factor yenye nguvu kwako huwezi pata malaika
 
Duh makabila ya Pwani na ya Kusini sio ya kuoa kama wewe ni mtu wa bara, hapo umekosea maana ni tabia zao na Utamaduni wao.
Mrudishe nyumbani mkuu.
Kusini ipo mkuu?
Nyanda za juu kusini, kusini?
Wengine watakwambia kasikazini
Haya mambo aisee ni kuomba Mungu tu
 
Sina experience ya ndoa, zaidi ya kuishi na mtu ndani zile pika pakua vaa na vua japo ni zama za giza kidogo, hivyo ushauri wangu unaweza usiwe relevant

Ila yote kwa yote, naona kuna umuhimu wa kuishi na mtu japo kidogo wakati bado unajitafuta kumuoa ili kumsoma na kukata shauri kama unajilipua au la
Hata ukiishi nae miaka 20 ukifunga tu ndoa wanabadilika.Hasa Hawa wa Kikristo ndio hovyo kabisa inatakiwa uishi nae Kama mpangaji ndo mtaenda sawa.
 
Habari wakuu, mke wangu toka nimuoe sina chochote nachostahili kufanyiwa kama mume.

Heshima 0
Tabia 0
Kununa nuna A+

Kusex mpaka nianze mimi, nisipoanza ngoma 0-0 na since nioe mwezi wa 8 mwaka jana sijasex nae zaidi ya mara 5 na zote naanza mimi kudai penzi though no Mutual Connection.

Mke meseji ninamtumia saa 1 asubuhi kujibiwa saa 10 jioni. Since day 1 ya ndoa yangu sijapata raha yoyote ile zaidi ya karaha tu. Leo nimeamua kumtolea uvivu.

WAKUU TUSIKURUPUKE KUOA.

kabla ya yote,hebu jichunguze wewe mwenyewe wapi unakosea,baada ya hapo mtafute mkae mahali pazuri pasipo na bughudha au kele le na muongee utapata suluhu
 
Back
Top Bottom